Hivi Niffah yupo wanajukwaa?

Hivi Niffah yupo wanajukwaa?

Mbona yupo hata kwenye huu uzi wako amechangia tayar.. au unataka ID ya nifa
 
Wakuu naomba kujua kama mwanajukwaa mwenzetu kama yupo mana kimya kingi isijekuwa nissan nyeupe ishamfuatilia kimya kimya.
Nawasilisha.
Leo nimeona uwepo wa mkuu The Bold kwenye nyuzi mbalimbali. Hivyo na uliyemuulizea we hope soon ataanza kuonekana jukwaani.
 
Back
Top Bottom