Hivi nikitaka kuuza madini lazima niwe na kibali ?

1Africa54

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2025
Posts
464
Reaction score
549
Habari wana JAMII FORUM naomba kujua nikiwa na madini naweza kuuza bila kua na vibali vya uchimbaji ?
 
Ndiyo,uwe unatambulika katika mgodi husika au uuze kwa wanunuzi kisha wao wakauze serikalini. Ila hapo kugeukana na kuuliwa ni chapu sana.
 
Inatagemeana ni aina gani ya madini lakini inawezekana vizuri.Sema kama ni dhahabu kuwa makini kugeukwa ni kugusa
 
Vipi gemstone je
Hayo sijui lakini dhahabu ina michezo michafu sana nimeona mara kibao kuna jamaa alikuwa na duara dogo tu akapata dhahabu ile hajakaa sawa askari hao kuichukua sijui ilikuwaje jamaa askari walimletea mauza uza wakati walikuja kama kutoa ulinzi na dhahabu ikapotea bila kujua.Kingine wale makota wanamichezo michafu kufanyiwa uswahili ni kugusa tu.
 
Hatari sana asee
 
Back
Top Bottom