Mathias Byabato
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,033
- 723
silly!!!!!,
umesoma sekondary ya yusuf makamba nini???
utakuconnect vipi modem zote tatu ?, nadhani hilo ndio swali la muhimu kabla hatujajadili speed ya ku-download.Naomba kuuliza :Nataka kutumia Modem 3 ya Zantel Voda na Airtel kwa mpigo
Je hii inaweza kufanya speed ya kuatach vitu au kudowload kuwa kubwa?
Asante
alafu kila moja unafungua kwa browser yake au ? alafu download window zinakuwa tofauti au?, alafu mwisho wa siku unacompile vipi this different downloads into one au?Laptop ina option zaidi ya nne za kutumia modem na kila moja inakuwa conected kivyake
Nafuna Airtel naconect,then vodafone na hivyo hivyo kwa ZANTEL hii siyo issue kubwa mbona?
Laptop ina option zaidi ya nne za kutumia modem na kila moja inakuwa conected kivyake
Nafuna Airtel naconect,then vodafone na hivyo hivyo kwa ZANTEL hii siyo issue kubwa mbona?
jaribu kuwasha genereta uchanganye na umeme wa tanesco mkuu kwa pamoja uone molotov itakayotokea
jaribu kuwasha genereta uchanganye na umeme wa tanesco mkuu kwa pamoja uone molotov itakayotokea
Jamani hamkujifunza ile 'try method'
Ebu fanya hivi:Conect modem 2 mfano ya Airtel na Vodafone kwa pamoja.mojawapo ya Modem hiyo iwe na fedha kidogo sana kama 100 tsh na ya pili iwe na fedha ya kutosha.Kisha fungua Mozila au Explorer.
Then nenda kwenye browser fungua youtube yoyote .Anza kuiplay.Si You tube hiyo inatumia Internet.
Utashangaa Modem moja iliyokuwa na fedha kidogo inaishiwa fedha kabisa na unaweza kui disconect ikabaki moja huku yotube video ikiendelea kucheza.Ikoje hii?
Ndiyo maana nikauliza je kwa kutumia modem mbili inaweza kuongeza speed?.
Wakubwa naomba mnielewe mimi sikurupuki kuuliza kitu hapa,Jaribu kwanza na nyie nipeni ujuzi wenu.
Mb
Hivi Tshs 100 ni megabytes ngapi.., isijeikawa imekwisha kwa ku-update antivirus yako ?
You call it minor issue lakini its a very important issue..., Therefore unless upate a device ya kuweza kuziconnect hizo modem tatu kabla haijafika kwenye laptop yako.., utakuwa unatumia one connection at a time ni sawa sawa unazo water taps mbili zilizo mbali moja chumbani na nyingine sebuleni na unataka ujaze ndoo maji kwa taps zote mbili kwa wakati mmojaWe vipi?-
we zingatia hoja siyo minor issue kama hiyo,hapa nasema hata kama moja ina 3G na nyiinge 800mb,katika matumizi kwa mpigo ya 800mb itakwisha.
You call it minor issue lakini its a very important issue..., Therefore unless upate a device ya kuweza kuziconnect hizo modem tatu kabla haijafika kwenye laptop yako.., utakuwa unatumia one connection at a time ni sawa sawa unazo water taps mbili zilizo mbali moja chumbani na nyingine sebuleni na unataka ujaze ndoo maji kwa taps zote mbili kwa wakati mmoja