VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,365
Lakini tatizo ndoo (hicho kitu unachokidownload) kipo either chumbani au sebuleni and you cant be in the same place twice.., ndio maana nikasema (nothing is impossible anything can be done) lakini hata kama tukitaka kutengeneza device ya kuweza kucombine hizi connection itakuwa vema kama hii device ikiwa nje ya computer yako, yaani hizo pipe mbili ziunganishwe into one pipe ili iingie kwenye ndoo moja (Download yetu) ama sivyo takuwa nakimbia chumbani napata maji kidogo narudi sebuleni napata maji kidogo etc.Safi sana,mfano mzuri sana.
Je uoni kuwa ndoo itajaa kwa muda mfupi ukitumia taps mbili badala ya moja,je hii formula ipeleke kwenye modem
kwahiyo from your point itakuwa vema zaidi tukiongezea na ethernet Cable na zile 56kbs modems ili tupate kasi zaidi..., alafu lazima tukumbuke kuna vitu vinaitwa Bottlenecks hata kama modem yako ni 1 Megabyte per Second huwa hatupati hiyo inakuwa ndogo kutokana na mambo mengi