Hivi nikiwaambia Mimi ni mzungu kabisa mtaamini? Au mtakataa?

Hivi nikiwaambia Mimi ni mzungu kabisa mtaamini? Au mtakataa?

eti naye kaanzisha Uzi na kukimbia wakati unayoyoma page kwa kurasa
 
Ndio raha ya JF, kila mtu anaweza kuwa jinsi anayotaka mwenyewe, kuanzia jina, elimu, jinsia, umri, mali n.k ni raha sana JF. Unakuwa kitu chochote unachopenda.
 
Umesha tueleza wew mzungu haya wataka tuufanyie nin huo uzungu wako unafaida gan kwetu
Haya tuhusu wew kuwa nguruwe
 
Hata Mimi ni msomali kutoka huko uhabeshini,ila nipo bongo life limeninyoosha vibaya
 
Back
Top Bottom