Faller sana huyoUsikute ni bongozozo
Mskochi= m scottish(adjective)Mimi ni mzungu kabisa baba yangu ni mu Irish na mama anatokea Scotland hivyo ni mskochi Kama hamuami shauri yenu.
Mimi ni mzungu kabisa baba yangu ni mu Irish na mama anatokea Scotland hivyo ni mskochi Kama hamuami shauri yenu.
JF tunakufungulia dunia kuwa unachotaka!Ndio raha ya JF, kila mtu anaweza kuwa jinsi anayotaka mwenyewe, kuanzia jina, elimu, jinsia, umri, mali n.k ni raha sana JF. Unakuwa kitu chochote unachopenda.