Hivi nikwanini inakuwa hivi mimi sijui nasijui kama na wewe unajua!!

Hivi nikwanini inakuwa hivi mimi sijui nasijui kama na wewe unajua!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Kwa muda mwingi nimekuwa nikijiuliza kwamba hivi sisi wanaume ni kwa nini tunapoenda kumtongoza mwanamke kwanini hatuendi mojakwamoja kwenye pointi?,Nilazima mwanzo mwisho ni Magumashi uongo uliopitiliza??.
Sijui kama kuna mwanaume aliwahi kutongoza mwanamke bila kumdanganya!, sijui ndiyo maana nimesema sijui lakini uzoefu unaonyesha mistari yote anayopewa mwanamke huwa ni uongo mtupu!!,baadae kwenye mahusiano kunavitu uharibu mahusiano kutokana na uongo ulioutunga ili umpate huyo mwanamke, sasa hapo kama ujaeleza ukweli wako hapo ndo ukuta mwanamke anakosa imani na wewe!!matatizo ndo uanzia hapo.Je ninyinyi wanawake usababisha tuwadanganye??kwa misimamo yenu ya sitaki nataka?
 
Kuna wanaume bado wanatongoza mpaka leo?Kama wapo bado, nawashangaa
 
Mmmh sipendi mwanaume muongo na mwenye longolong nyingi. Mimi tena akishaanza na beti kama hizo ndio nampotezea kabisa.

lol
 
mbona mie huwa sizunguku mbuyu! Hiyo stail imepitwa na wakati.
 
Mmmh sipendi mwanaume muongo na mwenye longolong nyingi. Mimi tena akishaanza na beti kama hizo ndio nampotezea kabisa.

lol

Yakweli hayo au ni testi zali? Haahaa hakuna mwanamke anaekwepa hizo sound!
 
Inategemea na mamanke mwenyewe alivyo,kuna wanaume wanakuja na ukweli kabisa lakini msichana anaona anadanganywa,sasa mwanaume akishajua kama huyu mdada kazowea kudanganywa ndio ho ho ho!
 
Hakuna general rules za kutongozana.kutongozana kunategemea mazingira na hulka za wanaotakana.
 
Kwanza mimi kutongoza nimeshasahau hivi wanatongoza vipi?
 
Wengine hata hatuzunguki saaana. Tunapigaga kwenye bull mchezo umeisha. Kwanini udanganye mkuu? Labda kama hujiamini.
 
Mazoea 2! Wanaume wengi wamezoea maneno mingi afu uongo kwa sana ili aonekane na yeye havumi lakini yumo! Lol! All in all hayo ni mambo ya kizaman
 
wanawake hawaitaji kutongozwa mkuu . wanahitaji wallet za namna hii tu.

383220_270819136293520_100000963067453_779752_302891921_n.jpg
 
Inategemea na mamanke mwenyewe alivyo,kuna wanaume wanakuja na ukweli kabisa lakini msichana anaona anadanganywa,sasa mwanaume akishajua kama huyu mdada kazowea kudanganywa ndio ho ho ho!

you are right,kuna midemu usipoidanganya humpati.
 
ni rahis kutongoza kwa lugha ya malkia kuliko kutongoza kwa lugha ya kiswahili.
 
Mmmh sipendi mwanaume muongo na mwenye longolong nyingi. Mimi tena akishaanza na beti kama hizo ndio nampotezea kabisa.

lol

Na mimi nawashangaa maana siku hizi unavuta tu, bora wewe dada umewaambia
 
Back
Top Bottom