Hivi nikweli kuwa mwanamke anaweza kupata mimba kwadizain hii


au akuulize doctor bingwa wa kutoa mimba anapatikana wapi.
 

"NYEGE"??? Kuna tofauti Kubwa kati ya nyege na shahawa.
 
Iko wazi mtu anapouliza hutaka kufaham tu kiongozi kwani kuna tatizo mkuu...?.

Mimi sina tatizo ila nataka kujua kama nikitu kinaweza kutokea.
 

hahaaaaaaa! Hapana huo ndoukweli kwamba cjasogeza hata kidogo
 
Last edited by a moderator:
hivi inakuaje kwa mfano mtu una mpnz wako afu mnagombana mara kwa mara halafu hata kama una hasira ye anataka mfanye huku mmegombana yani imefikia point mmekwazana na mmeafiki kuachana unamuomba akuletee vitu vyako uliviacha kwake anakubali kuleta then baada ya kukuona tu badala akupe mzigo wako ye anadindisha dudu lake na kuanza kukulazimisha mfanye mapenzi kwa nguvu huku ukiwa na hasira bado..huyu mtu anakua kakuchukuliaje
 

Umetoa shule mwanana bibie.....
Ovulation inatokea siku ya 14 ya mzunguko na kiwastani mbegu za kiume zinaweza kusurvive wastani wa masaa 72 hivyo unarudisha nyuma siku 3.
Ila pia yao likipevuka linaweza kukaa masaa 48 , hivyo ukipiga pumbu siku mbili mbele atapata mimba.
Hiyo tu kwa kuongezea.
 
Last edited by a moderator:
Conclusion yako na maelezo vimetofautiana bibie.....
Huyo hawezi kupata mimba.
 

hiyo 100% pasipo na shaka inawezekana kama yupo kwenye siku zake
 



!
!
ni katika kunogesha sredi tu mkuu, nothing more nothing less.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…