Hivi nikweli kuwa mwanamke anaweza kupata mimba kwadizain hii


Umenifurahisha kwny conclusion
 
Hapo inawezekana akapeta mimba au asipate coz yai la mwanamke hua linakaa masaa 72 tangu lipevuke na pegu ya kiume ni masaa 48 hivyo km mbegu ilimwagikiajuu ya chupi na ikatelezea ndani au usawa wa K yakakufana na majimaji anaweza pata mimba nikirudi kwny mada yako umesema kuwa zilipita siku tatu ambazo ni ndani ya masaa 72 na pia kwasababu mlikuwa mmechezeana tayari K ilikuwa imerowana hivyo uwezekano wa kupata mimba ni mkubwa sana. Jiandae kulea kijana
 
Yap kapata coz zile nivimelea kama vya maji so vinaweza penya na kusababisha mimba
 

jana niliruka siku mbili bila kujua thays why cocn ilikua tofauti

by the way huyo alieuliza swali hakua na data kamili hivyo kuandika maelezo yote hayo nikiwa na akili za usiku ilileta mushker kidogo
 
sor jana nilitoa maelezo hapo niliruka siku mbili baadae mdau alikuja niambia nikarudi nikarwkebisha lakini watu walisha reply

so naona asakuta same katia mkazo hapo so

mtoa mada umeeelewa
nilikua naa akili za usiku na uzi ulishanichanganya maana bana msimu wa mvua huu
 
Last edited by a moderator:
Conclusion yako na maelezo vimetofautiana bibie.....
Huyo hawezi kupata mimba.

jana niliruka siku mbili lakin kama kanyegeka siku ya 11 yai likayolewa siku ya 13

na zinaweza kukaa masaa takriban 74
inaeza kulikuta kuna watu wana vishipa sperms zinakaa wiki
 
mmmh madam take that as a compliment

shukuru kwanza then ask why......

but thats non of my biznes gotta goo(in kermit voice

Hahaa masai dada kwani nimemjibu vibaya??..to me it was just another way of asking 'why'? Et EWM nimekukwaza?
 
Last edited by a moderator:
foreplay unamwaga! Utakuwa unatamatatizo...nenda kamuone daktari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…