okey
tarehe 12 hesabu kama siku ya kwanza katika mzunguko wa 28 days
akamaliza 3 days later..ina maana kamaliza tarehe 14
kwako kaja tarehe 18..hivyo mkachezeana wee mpaka 21
haya anza kuhesabu
12=1
13=2
14=3
15=4
16=5
17=6
18=7
19=08
20=09
21=10
22=11
23=12
24=13
Mkuu kuanzia siku ya 11 mpaka siku ya 17 tunaziita fertile period yaaani yai huweza kurutubishwa kama hapo juu nilivyosema
umelala siku ya 12 yai limetolewa siku ya 13 sperms zinakaa masaa 74 active HIVYO YAI LIMERUTUBISHWA
MKUU JIANDAE KUNUA BESENI LA MTOTO
nategemea swali linalofuata ni wapi maduka ya vifaa vya watoto yalipo hapa mjini
Umenifurahisha kwny conclusion