Hivi nikweli kuwa mwanamke anaweza kupata mimba kwadizain hii

Dogo soma tu....kiherehere cha kujifanya unataka makubwa ndio hayo unaishia kukutana na kungwi.
 
kaka umeliwaaaa
 
Hakika hiyo mimba ni yako shahawa ikishagusana na midomo ya uke mbegu zinauwezo wa kuogelea pale kwa mda wa saa 48 zikisaka kurutubisha yai
 
Inawezekana kabisa ikawa ni yako,wala usibishe. M/mke hata akichukua kondom iliyo na shahawa akaificha ndani ya chupi yake. Basi uwezekano wa kupata mimba ni mkubwa sana. Kupata mimba sio mpka mb** izame k*m*n la hasha ispokuwa mbegu zikiwa katika eneo la mdomo wa kum* hapo hapo zitaogelewa zenyewe na kurutubishana, baadae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…