Hivi nikweli kuwa mwanamke anaweza kupata mimba kwadizain hii

Hivi nikweli kuwa mwanamke anaweza kupata mimba kwadizain hii

Dogo soma tu....kiherehere cha kujifanya unataka makubwa ndio hayo unaishia kukutana na kungwi.
 
Habarini za mda huu wataalam wa jukwaa hili, Kwamda wa takriban mwezi1 uliopita nilikutana na demu1, nikaendanae hadi getoni kwangu nikamtongoza, baada ya kumtongoza kwamuda wakutosha akanijibu kuwa "nimekubali ila ninasiku3 tu tangu nivunje yai(yaani tangu sikuzake zipite)", wakatihuo tulikuwa tumelala kitandani, mimi nikwawa naendelea kumpapasa mwiliwake, nanilikuwa nimelala juu ya tumbo lake nakumvua sketi akawa amebaki na chupi tu, baada ya kumpapasa kwamda wakutosha,nikajikuta nimeachia mzigo(nyege),mzigo huo nimeutoa juu ya chupi lakini nikwenye maeneo ya **** lake. Hivi leo ananiambia umenipa mimba, naombeni ushauri wenu nikweli jambo kamahilo linaweza kutokea?
kaka umeliwaaaa
 
Hakika hiyo mimba ni yako shahawa ikishagusana na midomo ya uke mbegu zinauwezo wa kuogelea pale kwa mda wa saa 48 zikisaka kurutubisha yai
 
Inawezekana kabisa ikawa ni yako,wala usibishe. M/mke hata akichukua kondom iliyo na shahawa akaificha ndani ya chupi yake. Basi uwezekano wa kupata mimba ni mkubwa sana. Kupata mimba sio mpka mb** izame k*m*n la hasha ispokuwa mbegu zikiwa katika eneo la mdomo wa kum* hapo hapo zitaogelewa zenyewe na kurutubishana, baadae.
 
Back
Top Bottom