Hivi nikweli kuwa mwanamke anaweza kupata mimba kwadizain hii

Huyo dem mwizi tu. Yai gani linapevuka siku tatu baada ya hedhi.
 
Habarini za mda huu wataalam wa jukwaa hili, Kwamda wa takriban mwezi1 uliopita nilikutana na demu1, nikaendanae hadi getoni kwangu nikamtongoza, baada ya kumtongoza kwamuda wakutosha akanijibu kuwa "nimekubali ila ninasiku3 tu tangu nivunje yai(yaani tangu sikuzake zipite)", wakatihuo tulikuwa tumelala kitandani, mimi nikwawa naendelea kumpapasa mwiliwake, nanilikuwa nimelala juu ya tumbo lake nakumvua sketi akawa amebaki na chupi tu, baada ya kumpapasa kwamda wakutosha,nikajikuta nimeachia mzigo(nyege),mzigo huo nimeutoa juu ya chupi lakini nikwenye maeneo ya **** lake. Hivi leo ananiambia umenipa mimba, naombeni ushauri wenu nikweli jambo kamahilo linaweza kutokea?

heheheheh....watu mnadanganywa mno...na si ajabu alikwambia yeye bado bikira ukaamini.
 
hichi kijiwe tu kula papuchi ni ulipopeleka MATUMIZI
HAPA STORY TU KULA KILA MTU KWAO

dont take it personal

Usiusemee moyo sijasema UNALIWA mwaya nimeuliza tu sijaona hata siku moja mwanaume akasema ana hamu then wanawake wakajitokeza kama walivyojitokeza majamaa hapo hata kama ni jokes huwa wanajitokeza kwa comments kama hizo...?.
 
Nami niunganishie swali langu hapa.girlfriend wangu.nimefanya nae siku ya saba tangu atoke mp na mzunguko wake ni siku 28 je anaweza pata mimba?

shika kalamu

kama demu wako ana mzunguko wa 28 days

kuanzia siku ya 1 mpaka siku ya 6 ni hedhi
kuanzia siku ya 11 mpaka siku ya 17 kuna uwezekano wa fertlization ikafanyika
haswa siku ya 13 mpaka 15 ambazo ni siku yai linatolewa

kutoka siku ya 17 mpaka siku ya 28 no damu no nini mpaka siku utakapoona tena damu ndo siku ya kwanza ya mzunguko in next month

sasa kama ulipiga pmb siku ya 11 sperms zinaweza kuwa active mpaka siku ya 13 ambapo yai litatolewa na kurutubishwa
na pia kama ulipiga pmb siku ya 16 kuna uqezekano yai bado likawa active kama limetolewa siku ya 15

kwa mchoro ningekuelekeza vizuri NJOO GETO

MOLAM pia chek this muulize demu wako je siku mnapiga mambo alikua siku ya ngapi au uwenda akawa kasahau ndo maana hii nja sio nzuri kwenda kavu

MAANA NAJUA ULISOGEZA CHUPPI UKAPIGISHA KIDOGO.
 
Last edited by a moderator:
Kula kona, utabambikizwa mzigo sio wako! Okey, kiukweli inawezekana ila chances ni ndogo sana.
 
shika kalamu

kama demu wako ana mzunguko wa 28 days

kuanzia siku ya 1 mpaka siku ya 6 ni hedhi
kuanzia siku ya 11 mpaka siku ya 17 kuna uwezekano wa fertlization ikafanyika
haswa siku ya 13 mpaka 15 ambazo ni siku yai linatolewa

kutoka siku ya 17 mpaka siku ya 28 no damu no nini mpaka siku utakapoona tena damu ndo siku ya kwanza ya mzunguko in next month

sasa kama ulipiga pmb siku ya 11 sperms zinaweza kuwa active mpaka siku ya 13 ambapo yai litatolewa na kurutubishwa
na pia kama ulipiga pmb siku ya 16 kuna uqezekano yai bado likawa active kama limetolewa siku ya 15

kwa mchoro ningekuelekeza vizuri NJOO GETO

Masai dada ebu kuwa straight kidogo.alianza tarehe 12 ijumaa dec.akamaliza after 3 days bleed.mi kwangu amekuja tarehe 18 tumekaa nae mpaka 21 jumapili.je hapo anaweza pata ujauzito.coz analalamika kuwa anajisikia tofauti
 
okey
tarehe 12 hesabu kama siku ya kwanza katika mzunguko wa 28 days
akamaliza 3 days later..ina maana kamaliza tarehe 14
kwako kaja tarehe 18..hivyo mkachezeana wee mpaka 21

haya anza kuhesabu
12=1
13=2
14=3
15=4
16=5
17=6
18=7
19=08
20=09
21=10
22=11
23=12
24=13
Mkuu kuanzia siku ya 11 mpaka siku ya 17 tunaziita fertile period yaaani yai huweza kurutubishwa kama hapo juu nilivyosema
umelala siku ya 12 yai limetolewa siku ya 13 sperms zinakaa masaa 74 active HIVYO YAI LIMERUTUBISHWA

MKUU JIANDAE KUNUA BESENI LA MTOTO
nategemea swali linalofuata ni wapi maduka ya vifaa vya watoto yalipo hapa mjini
 
Kula kona, utabambikizwa mzigo sio wako! Okey, kiukweli inawezekana ila chances ni ndogo sana.

uwezekano ni mkubwa sana mkuu

SPERMS ARE MOBILE BY NATURE
they have tails ambazo zina saidia movement nzima

na kumbuka sperms ni cell ndogo sana hivyo katika ule uji kuna millions per one ejeculation
so zimepita
 
Habarini za mda huu wataalam wa jukwaa hili, Kwamda wa takriban mwezi1 uliopita nilikutana na demu1, nikaendanae hadi getoni kwangu nikamtongoza, baada ya kumtongoza kwamuda wakutosha akanijibu kuwa "nimekubali ila ninasiku3 tu tangu nivunje yai(yaani tangu sikuzake zipite)", wakatihuo tulikuwa tumelala kitandani, mimi nikwawa naendelea kumpapasa mwiliwake, nanilikuwa nimelala juu ya tumbo lake nakumvua sketi akawa amebaki na chupi tu, baada ya kumpapasa kwamda wakutosha,nikajikuta nimeachia mzigo(nyege),mzigo huo nimeutoa juu ya chupi lakini nikwenye maeneo ya **** lake. Hivi leo ananiambia umenipa mimba, naombeni ushauri wenu nikweli jambo kamahilo linaweza kutokea?

Mwanamke akitoka katika siku zake za hedhi, siku 14 za mwanzo unagonga tu hachukui mimba, hio yako kali yaani baada ya siku tatu apate mimba :what:
 
okey
tarehe 12 hesabu kama siku ya kwanza katika mzunguko wa 28 days
akamaliza 3 days later..ina maana kamaliza tarehe 14
kwako kaja tarehe 18..hivyo mkachezeana wee mpaka 21

haya anza kuhesabu
12=1
13=2
14=3
15=4
16=7
17=8
18=9
19=10
20=11
21=12

Mkuu kuanzia siku ya 11 mpaka siku ya 17 tunaziita fertile period yaaani yai huweza kurutubishwa kama hapo juu nilivyosema
umelala siku ya 12 yai limetolewa siku ya 13 sperms zinakaa masaa 74 active HIVYO YAI LIMERUTUBISHWA

MKUU JIANDAE KUNUA BESENI LA MTOTO
nategemea swali linalofuata ni wapi maduka ya vifaa vya watoto yalipo hapa mjini

Mbona umeruka siku mbili dada
 
Back
Top Bottom