M Maganua meakipizo Member Joined Oct 20, 2019 Posts 9 Reaction score 15 Oct 25, 2019 #1 Hivi nikweli wale watangazaji wa TBC walio tangaza Rais wa Marekani kamsifia mkuu wamesimamishwa kazi
Hivi nikweli wale watangazaji wa TBC walio tangaza Rais wa Marekani kamsifia mkuu wamesimamishwa kazi
Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 35,012 Reaction score 70,201 Oct 25, 2019 #2 Hahaha huo mchepuko uliokuficha na kukuachia leo ni hatari kwa afya.
msondomba JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 1,895 Reaction score 2,410 Oct 25, 2019 #3 Maganua meakipizo said: Ivinikweli wale watangazaji was TBC walio sema raid was marekani kamsifia mkuu wamesimamishwa kazi Click to expand... Dahhh mzeeeya ulikua mkoa gani ?
Maganua meakipizo said: Ivinikweli wale watangazaji was TBC walio sema raid was marekani kamsifia mkuu wamesimamishwa kazi Click to expand... Dahhh mzeeeya ulikua mkoa gani ?
Kawe Alumni JF-Expert Member Joined Mar 20, 2019 Posts 8,685 Reaction score 12,000 Oct 25, 2019 #4 Ulitaka awasifie wasaliti wa nchi?