Hivi nina mkosi mimi

Pole sana
Kwa ushauri tu naomba uufanyie kazi au unaweza kupotezea lakini ndio ukweli haswa
Hapo shida sio hao mademu zako tatizo liko kwako wewe ndio tatizo haswa
Rudi nyumbani nenda kazungumze na wazazi wako watakachokushauri kifamyie kazi hiyo hali haitakuja kujitokeza tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utakuwa umerithi uchawi . kwahiyo hao wana react na mapepo Yao kupigana na uchawi wako
 
Mi kila ninayekutana naye baada ya muda nagundua anangoma. Ila mi sina sijui nayo inafuata vinasaba. Sasa nimeamua niwe tu katibu wa chawaputa katika kata yetu. Pia ni mwenyekiti wa chama kijijini kwetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulia muda siyo mrefu utanyonywa damu rudi kwenye asili yetu ya kupiga puchu

Sent using Gun Trigger
 
Utakuwa umerithi uchawi . kwahiyo hao wana react na mapepo Yao kupigana na uchawi wako
ntajuaje kama nina uchawi je uchawi huo kanirithisha nani mkuu?
 
sawa mkuu ntafanya ivyo maana ni laana tupu asee
 
We! We! We!.. Tukupe dada zetu ukawakojolee mapepo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…