stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 17,216
- 26,225
Tena inaweza kuwa sio moja,na usikute kayatoa huko huko kwenye multiple affairs zake...Tatizo na wewe una "kapepo"
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena inaweza kuwa sio moja,na usikute kayatoa huko huko kwenye multiple affairs zake...Tatizo na wewe una "kapepo"
😃😃😃Tatizo na wewe una "kapepo"
sawa mkuu ntafanya ivyo maana ni laana tupu aseePole sana
Kwa ushauri tu naomba uufanyie kazi au unaweza kupotezea lakini ndio ukweli haswa
Hapo shida sio hao mademu zako tatizo liko kwako wewe ndio tatizo haswa
Rudi nyumbani nenda kazungumze na wazazi wako watakachokushauri kifamyie kazi hiyo hali haitakuja kujitokeza tena
Sent using Jamii Forums mobile app
mhhh asee una kismarte eehMi kila ninayekutana naye baada ya muda nagundua anangoma. Ila mi sina sijui nayo inafuata vinasaba. Sasa nimeamua niwe tu katibu wa chawaputa katika kata yetu. Pia ni mwenyekiti wa chama kijijini kwetu
Sent using Jamii Forums mobile app