Hivi ninawezaje kujua mita namba ya DAWASCO kama zina bill utility?

Hivi ninawezaje kujua mita namba ya DAWASCO kama zina bill utility?

Nafaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
12,468
Reaction score
32,167
Nimehamia nyumba mpya sasa jana Dawasco wamekuja kukata maji wakidai kuwa sijalipa, nikawambia kuwa sikupokea bill, wakaitaarifu kuwa ntificaton atakuwa alikuwa anazipokea jamaa aliyekuwa anaishi hapa kabla, so wakaniandikia namba ya mita kwenye karatasi then wakaondoka na kunisistiza nilipe bill kabla ya jumatatu. Kumbe waliikosoa nimekuja kulipia via simu ninaambiwa mita namba haiko sawa.


Tatizo muda wa kwenda dawasco sina maana naondoka asubuhi narudi jioni na nina shaka kama kesho wanaweza kunikatia maji. Sasa ninauliza kama kuna njia mbadara ya kujua mita namba maana mfano luku ya tanesco inakuwa na mita namba hapo hapo cini ya barcode, ila nimecheki kwenye mita ya maji sijaona.
 
Mdau ingia website yao kama haujui google dawasco au jina lolote inavyoitwa. Ingia contact us / wasiliana nasi. Lazima watakuwa wameweka njia ya mawasiliano. Watumie namba ya mita wakupe akaunti namba na uambie wabadili namba ya simu ya wanayemtumia notification. Watasolve inshu yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom