Hivi nini kilimfanya Putin ajiamini kiasi hiki hadi kuangukia pua?

Hivi nini kilimfanya Putin ajiamini kiasi hiki hadi kuangukia pua?

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Wengi mnakumbuka hii amri ya Putin alipowaamrisha wanajeshi wa Ukraine wajisalimishe, leo hii mzee wa watu hata kulala ni shida maana drones zinapaa juu ya kichwa chake kama mbu....

screenshot_20220224-091826-png.2129602
 
Hehehe mlivyo sasa, hapo najua baada ya jamaa kuvaa mavitu ya kiarabu mumeingiwa na mzuka sana wa kumshobokea...

Anway huyu hapa sijui alikengekia wapi, aliwafundisha sana adabu...

ER_UHdcWsAUCRVV.png
Walimshikisha adabu wachechnia,waliuteka ukumbi wa starehe ndani ya Urusi,akaona isiwe tabu akakaa nao mezani.

Ushajiuliza Kwa Nini kwenye mishe zake anawahitaji sana waislam?
Screenshot_20230422-152847.jpg
 
Walimshikisha adabu wachechnia,waliuteka ukumbi wa starehe ndani ya Urusi,akaona isiwe tabu akakaa nao mezani.

Ushajiuliza Kwa Nini kwenye mishe zake anawahitaji sana waislam?
View attachment 2611822

Hehehe hapa najua kwa hili hadi mtamuabudu, yaani nyie huwa rahisi sana kuwakuna.....huyu kuna kipindi aliwatwanga sana.
 
Back
Top Bottom