Hivi nini kilimfanya Putin ajiamini kiasi hiki hadi kuangukia pua?

Hivi nini kilimfanya Putin ajiamini kiasi hiki hadi kuangukia pua?

Wengi mnakumbuka hii amri ya Putin alipowaamrisha wanajeshi wa Ukraine wajisalimishe, leo hii mzee wa watu hata kulala ni shida maana drones zinapaa juu ya kichwa chake kama mbu....

screenshot_20220224-091826-png.2129602
Kubwa jinga za siku mbili tatu 🤝,,,, hujambo!!
Naona kama kawaida yako
 
Sasa husikii Jana Italia wanesema hawana stock ya kutosha ya silaha baada ya kuisaidia Ukraine? The same with Germany na USA. NATO yote wanaweka resources. Wanachelewesha matokeo na gharama ya operation hasa kwa human resource ya Ukraine.

Kumbuka it's a military Operation not war. Russia is operating humanly maana rebuilding ni mzigo wao. Pia they must win the trust of natives. Sio carpet bombers kama USA. Ukraine can't win. They only prolong the conflict na misaada
 
Back
Top Bottom