Hivi nini kinaendelea kwa huyu Diva Loveness love?

Weee...sio ikulu ya raisi...unapouza nafsi..inamaana utakula vyao mda Fulani..time ikifika unaenda kuwatumikia uku ukiwa umekufa katka hali ya kuchukuliwa na wao
" ... time ikifika unaenda kuwatumikia huku ukiwa UMEKUFA" ..... haya ni MAJANGA katika mji wa SEPUKA
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hata mimi nawashangaaga sana.

Umri wathaman wanauchezea ,,wanabakisha umri Wa makombwe na kipole nani ale ???.

Wanawake akiwa 19-26 wathaman sanaaaaa.
Akiwa 27------- thaman imepungua.

Mwanamme akiwa 19--26 sio wathaman sana.
Akiwa 27-------- thaman imeongezeka sana.


Anachokifanya Deeva namastaaa wengine "nikujaribu kutafuta Huruma kupitia busara tu ili tuone kichwan anawaza nini,, ila kimwili kaishaaa!!!!.
 
Unaweza kukuta anajishaua hivyo halaf mashine yake breki pu.mbu...nakumbuka kuna siku walitukanana na diamond kwny xxl
 
Ni kweli kabisa
 
Vi miaka 30 wanabanwa chupi, watuulize sie vikongwe wa ujana inakwendaje. Tunapambana na hali zetu aisee
 
Tusidanganyike katika maisha kuna UMRI ambao furaha yako PEKEE ni familia yako na wala sio pesa au Mali, Na wengi hapa huwa tunadanganyika.
Unajua me nadhani kinachowaharibia watoto wa kike wengi now days wakati wa makuzi yaani kuanzia umri wa miaka 16+ hadi late 20's na early 30's ni ujuaji mwingi na kuishi kwa mitazamo ya kifeminist ambayo huwa wanaiokota okota tu huko mitandaoni kwenye memes na mashairi ya nyimbo na kuhisi ni acceptable life style kumbe sivyo.

Imagine, wanaume wote waliofanya nao upuuzi asilimia kubwa umri wa kuoa umefika hao wanaoa now na hawana time nao tena, hivyo lazima wachanganyikiwe. Cheki sugu ameoa, ray kigosi kacheza na johari kaoa chuchu hans, romy jones huyo ameoa juzi hapo, diamond huyo karuka na mademu kibao yeye kaoa, yaani hivi kweli hata kama ni mjinga kiasi gani hawawezi jifunza kuwa haya maisha yanakwenda yakikaza na yanataka watu serious na sio wa michezo michezo.

MUNGU awasaidie watoto wa kike wanaokuwa sasa wakiona dada zao wanavyokwama warudi kwenye mstari na kuishi kwa adabu. Wanaume wastaarabu mbona tupo wengi sana tu hapa.
 
Unaweza kukuta anajishaua hivyo halaf mashine yake breki pu.mbu...nakumbuka kuna siku walitukanana na diamond kwny xxl
Ila we mkaka huwaga una matusi....eti breki (........)

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
 
kuna siku kaandika anakereka kwenda ukweni afu akute wamepika maharage au cabbage, kipindi hicho alikua anatoka na GK ha ha ha sa sijui kwao GK ndo alikua anakuta hivo
Unaona sasa?! Hivi kwa hayo maneno unajiuliza huyu mtu ana akili sawa sawa kweli?!

Halafu GK alikuwa kamuelewa sana huyu manzi alikuwa anataka silent relationship, unakumbuka hata zitto alisha date nae so kama angekuwa ni mtu serious wa kufanya serious judgement na decision angewakubalia kati ya hawa wawili, ila tabia yake ya kumwaga mambo hadharani ndio ili mgharimu maana alishatoa meseji alizokuwa anatumiana na zitto hadharani na kumuaibisha hapo ndipo zitto akajua amezoeana na kichaa, halafu hata issue yake na GK ilikuwa ni wazi GK anamkataza kumuexpose kwenye media isaue zao personal ila demu halisikii kila akili zake zikifyatuka anakuja anaropoka ropoka kwenye kipindi chake na kwenye Instagram jamaa akaona hapa hasara maana nadate na kichaa kiwango cha Business class.

Sasa saa hii amebaki kuduwaa hana pakushika na hajielewi anaelekea wapi, akitazama wanawake marole model wake akina kim kardashian, akina beyonce, rihhana, sijui nani, wote wanaolewa pamoja na ukichaa wanaofanya maana kwa tamaduni za majuu hayo maswala ya past huwa wanapuuza ila kibongo bongo huwezi fanya upuuzi halafu eti uje kuishi kawaida, never! Ukishajiweka doa basi expect kuishi nalo milele. Sasa huyu analo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…