Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
" ... time ikifika unaenda kuwatumikia huku ukiwa UMEKUFA" ..... haya ni MAJANGA katika mji wa SEPUKAWeee...sio ikulu ya raisi...unapouza nafsi..inamaana utakula vyao mda Fulani..time ikifika unaenda kuwatumikia uku ukiwa umekufa katka hali ya kuchukuliwa na wao
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanaishia kugongwa na wahuni na vitoto, mwisho wa siku wanajioa mwenyewe kama Shilole, mahali katoa mwenyewe, dogo anamsitiri tu lkn ndoa hamna pale .Kuwaoa wanawake kama hawa labda uwe na moyo kama wale wanaume aliowaimba juma nature "wenye nguvu za simba na wasiogopa risasi".Pamoja K haina makombo wala missed call lkn K za hawa zimetumika, yaani kama gari basi yale MAMBAULA, yanayoenda porini kuchukua mkaa.
kitambo mbonawameshaachana na GK?
Mmh kumbe we kahaba?umependeza ktk avatar hapoNawewe unamfuatilia huyo kahaba mwenzamngu? Lol
Mama yangu anavyopenda kupika makande mbona ningeaibika sanakuna siku kaandika anakereka kwenda ukweni afu akute wamepika maharage au cabbage, kipindi hicho alikua anatoka na GK ha ha ha sa sijui kwao GK ndo alikua anakuta hivo
aisee umetumia fursa vizuri kujitangaza....[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nawewe unamfuatilia huyo kahaba mwenzamngu? Lol
HahahahaMama yangu anavyopenda kupika makande mbona ningeaibika sana
Ha ha ha Tanzania nzima ingejua mnamlisha diva makandeMama yangu anavyopenda kupika makande mbona ningeaibika sana
We ukimtazama Baba yake Mzee Malinzi unamuona ni Shombe shombe?? Mhaya huyo tena mweusi anabebwa na kitauloohooooo!!!mimi huwa najua ni shombe shombe kumbe amebebwa na kitaulo?
Ni kweli kabisaHeshima ya mtoto wa kike na wa kiume ni siku kuwa na family yake sasa kwa bahati mbaya hawa wanawake muda wao yaani prime time ni mfupi sana kwa bahati mbaya wanauchezea vibaya kujifanya wako huru wana vipesa wakija kushtuka umri umeenda. wanadhani maisha ni vipesa tu wakati ni zaidi ya hivyo ni kuwa na stable family na partner. na bahati mbaya wanaanza mabalaa katika umri mdogo mpaka wakifika prime time wamechoka mbaya sasa imagine wakifika 35+ scrap vizee. wewe kutwa kubadilisha wanaume nani huyo atakuja kukuowa. wanaume watakuchezea siku wakitaka kuowa wanatafuta kwa umakini.
Unajua me nadhani kinachowaharibia watoto wa kike wengi now days wakati wa makuzi yaani kuanzia umri wa miaka 16+ hadi late 20's na early 30's ni ujuaji mwingi na kuishi kwa mitazamo ya kifeminist ambayo huwa wanaiokota okota tu huko mitandaoni kwenye memes na mashairi ya nyimbo na kuhisi ni acceptable life style kumbe sivyo.Tusidanganyike katika maisha kuna UMRI ambao furaha yako PEKEE ni familia yako na wala sio pesa au Mali, Na wengi hapa huwa tunadanganyika.
Ila we mkaka huwaga una matusi....eti breki (........)Unaweza kukuta anajishaua hivyo halaf mashine yake breki pu.mbu...nakumbuka kuna siku walitukanana na diamond kwny xxl
Unaona sasa?! Hivi kwa hayo maneno unajiuliza huyu mtu ana akili sawa sawa kweli?!kuna siku kaandika anakereka kwenda ukweni afu akute wamepika maharage au cabbage, kipindi hicho alikua anatoka na GK ha ha ha sa sijui kwao GK ndo alikua anakuta hivo