Hivi nini kinaendelea kwa huyu Diva Loveness love?

Hivi nini kinaendelea kwa huyu Diva Loveness love?

Nawewe unamfuatilia huyo kahaba mwenzamngu? Lol
375137.jpg
hivi huyu si yule anayejiuza anasema anauza 0713 ila papuche ni nyongeza tu yupo kule badoo na fb na kwenye insta ndo wewe?............................?
 
Akijiuwa atakuwa ametupunguzia Population isiyo ya lazma na
1) Land alienation
2) Forced Labor
3) Low wages
4) Poor technology
5) Poor infrastructure
6) Lack of education
7) Unemployment
8) Taxation
 
Nipe namba yake akaninyee
ngoja nikutafutie namba yake ye anatangaza anauza tigo ila papuche ni nyongeza tu hahaha halafu ana msambwanda wa haja binti mrembo sijui ana matatizo gani kwakweli sura nzuri umbo zuri ila ndo vilee
 
hapo labda kiboyfrend kimemtibua, wakiumizwaga tu ndo misemo yao
 
hivi kheri music nae kampiga chini ,
haka kadada kanapigwa sana vibuti
Hivi nini kinaendelea kwa huyu bi dada loveness love a.k.a deeva wa clouds, kwasababu lately amekuwa akipost Instagram ujumbe ambao katika hali ya kawaida unaweza kuhisi kuwa hayupo sawa kabisa kwenye akili yake.

Ila kulingana na maneno aliyopost katika account yake ya Instagram ninaweza kulinganisha na kaulu zinazotolewa na baadhi ya wasichana wa kaliba yake mfano ni Johari wa bongo movie, faiza wa sugu, uwoya, wolper, wema sepetu, na wengineo. Hawa wamekuwa wakitoa kauli ambazo zinaashiria kuwa maisha yao ya kuishi kwa kujiachia na kufanya fujo za mjini yanaelekea ukingoni.

Wametumia usichana wao kufanya maisha ya uhuru uliopitiliza ambao haukujali kuwa wao kama wengine waliokuwapo kabla ya wao kuzaliwa wanawajibika kwa matumizi ya muda wao hapa duniani.

Kauli za hawa wadada zimejawa na hofu, wasiwasi, kukata tamaa, majuto, na simanzi. Wakiwatazama wenzao kama wao ambao nao walikuwa katika hali ya usichana sema waliamua mapema sana na kuamua kutazamia kuwa ujana ni maji ya moto na hakuna marefu yasiyokuwa na ncha na wakaamua kutulia na maisha na hatimaye kupotea katika media na habari za skendo na sasa wanaishi maisha ya kawaida ya utulivu, basi hii huwapa maumivu sana.

Hapa nawazungumzia wasichana waliowahi kuwa maarufu kama Jackline ntuyabaliwe, nancy sumari, Faraja kota, irene kiwia, nagris mohamed na wengineo wengi, ambao hivi sasa wanafamilia zao na wanamaisha mazuri tu ya utulivu kitu mambacho hawa wengineo imekuwa ni shaka kukipata.

Leo hii wamebaki kujinasibu na kutoa kauli za kujipa moyo ila ni wazi kuwa wamekwama na wanamajuto mengi sana na wanapata ukichaa wa hiyari. Imagine leo deeva anaanza kutafuta mwanaume, wa kupata nae watoto na kuanza familia serious anampataje?!

Hii kitu iwe fundisho kwa watoto wa kike ambao huwa wanahisi maisha ni mzaha mzaha na michezo ya mahusiano na kufanya wanachotaka.

Mambo ya kujiita sijui "slay queens", " independent woman" halafu kuishi maigizo mwisho wa siku wenzako uliokuwa unafanya nao upumbavu kumbe walikuwa na ramani za maisha za kimya kimya. Unakwama unabakia kutoa toa makauli ya kijinga.......
 
hivi kheri music nae kampiga chini ,
haka kadada kanapigwa sana vibuti
Itakuwa maana yeye kwake kudate ni kama kuchagua chakula anafanya mzaha mzaha na michezo anahisi mahusiano ni kitu cha kuingia na kutoka chap ukijisikia.
 
Unaona sasa?! Hivi kwa hayo maneno unajiuliza huyu mtu ana akili sawa sawa kweli?!

Halafu GK alikuwa kamuelewa sana huyu manzi alikuwa anataka silent relationship, unakumbuka hata zitto alisha date nae so kama angekuwa ni mtu serious wa kufanya serious judgement na decision angewakubalia kati ya hawa wawili, ila tabia yake ya kumwaga mambo hadharani ndio ili mgharimu maana alishatoa meseji alizokuwa anatumiana na zitto hadharani na kumuaibisha hapo ndipo zitto akajua amezoeana na kichaa, halafu hata issue yake na GK ilikuwa ni wazi GK anamkataza kumuexpose kwenye media isaue zao personal ila demu halisikii kila akili zake zikifyatuka anakuja anaropoka ropoka kwenye kipindi chake na kwenye Instagram jamaa akaona hapa hasara maana nadate na kichaa kiwango cha Business class.

Sasa saa hii amebaki kuduwaa hana pakushika na hajielewi anaelekea wapi, akitazama wanawake marole model wake akina kim kardashian, akina beyonce, rihhana, sijui nani, wote wanaolewa pamoja na ukichaa wanaofanya maana kwa tamaduni za majuu hayo maswala ya past huwa wanapuuza ila kibongo bongo huwezi fanya upuuzi halafu eti uje kuishi kawaida, never! Ukishajiweka doa basi expect kuishi nalo milele. Sasa huyu analo
teh GK alimpaga mimba ya mapacha sijui waliishia wapi wale mapacha.... diva huwa namuona Kama faiza wa sugu akili zao
 
teh GK alimpaga mimba ya mapacha sijui waliishia wapi wale mapacha.... diva huwa namuona Kama faiza wa sugu akili zao
Typical wanafanana sema huyu diva bange zake zinamuendea taratibu kidogo. Ila tutarajie mengi ya vituko vyake maana muda unavyozidi kwenda anazidi kuwehuka.

Atakuwa alitoa maana huyu sio mamushka material hata kidogo, hajielewi anachotaka ni nini!
 
Nawewe unamfuatilia huyo kahaba mwenzamngu? Lol
Comment kama hizi ndio zinawaumizaga sana hao wanaoclaim emselves as a celebs,they r so desparate,sometimes wanajaribu kujikopesha furaha,Diva anapita katk kpind kigumu sana,kifamilia,kiroho,kimahusiahano and ever thng.....kumbuka pia baba ake yupo jela mwezi wa 5 sasa....maisha tunavyoyachora hayajikuwa hivyo....watoto wa shule inabidi wajifunze mengi sanaaaa!!!
 
Back
Top Bottom