davejillaonecka
JF-Expert Member
- Oct 17, 2018
- 697
- 749
Mwenye ujuzi atu juze asili au chimbuko la majina haya maana uswahilini kwetu yanataradad.
SUHAYLA
SALHA
RUKAIYA
FALHIA
ZALHIYA
.........HIA
.........HIA.........Hia.........hia.
N.k
Hayo yako kama yalivyo ni majina ya kiarab tu wala hajatoholewa na waarab wanaitana hivyo hivyoNi swaga tu za Waswahili hizo, itakuwa wanatohoa majina ya Waarabu.
ZAKIAMwenye ujuzi atu juze asili au chimbuko la majina haya maana uswahilini kwetu yanataradad.
SUHAYLA
SALHA
RUKAIYA
FALHIA
ZALHIYA
.........HIA
.........HIA.........Hia.........hia.
N.k
Tabora na singida ni common hayo majina
Asee sikuwahi fikiria kabisa ..umetishaNi tabora mjini na singida mjini, mwarabu aliacha athari kubwa
Vile vimji katikati ya mji ni magofu ya waarabu
DahhNaa, Dula, Shebi, Rey, Rama Ukikaa mtaa watu Wana majina haya lazima ukute wadangaji, ukabaji na mateja kama wote
๐๐๐Si wanajikutaga wakojaniMwenye ujuzi atu juze asili au chimbuko la majina haya maana uswahilini kwetu yanataradad.
SUHAYLA
SALHA
RUKAIYA
FALHIA
ZALHIYA
.........HIA
.........HIA.........Hia.........hia.
N.k
YeapNi tabora mjini na singida mjini, mwarabu aliacha athari kubwa
Vile vimji katikati ya mji ni magofu ya waarabu
Asantevkwa ufafanuzi mkuuKuna majina ya aina tatu, mfano ya kimila,haya yalikuwa yanatolewa kabla hawajaja wakoloni,na kuna majina baada ya kuja wakoloni,yako pande mbili ya kiarabu na kizungu,kutokana na jografia ya inchi yetu jinsi tulivyotawaliwa.
Mano mfalamagoha,hili ni la kimira,Yahaya hili ni la Kisilamu na Yohana hili ni la kikristo.Lakini cha maajabu unaweza kukuta haya majina mfano ya kizungu,yalishapoteza maana yake toka yalikotoka,kama muhusika wa jina lake original siku akija ukamuita hilo jina haweza kuitika,mfano Yohana au Mathew siyo lilikuwa jina la muhusika,lakini lilipoenda Ulaya lilibadilishwa
Mambo ya Othman bay hayoLiking na tamthilia mkuu,
Shiro hizo ni kande za kijapani mkuu?Inafikia kipindi mtu anakaa tu keshabugia kiporo cha "makukuru" au "shiro" hamna hamna "kishumba" hapa na pale "kande" basi ni ushuzi tuu na hivi hana kazi ya kufanya full tafarani.