Hivi nini/wapi chimbuko la majina haya uswahilini?

Hivi nini/wapi chimbuko la majina haya uswahilini?

Hawa ni wale ambao zamani waliitwa kina Chausiku, Mwanne, Mwadawa, Ashura,, Zuwena nk. Baada ya kuchangamka wamejipachika haya majina mapya ya kiarabu
 
Kuna majina ya aina tatu, mfano ya kimila,haya yalikuwa yanatolewa kabla hawajaja wakoloni,na kuna majina baada ya kuja wakoloni,yako pande mbili ya kiarabu na kizungu,kutokana na jografia ya inchi yetu jinsi tulivyotawaliwa.

Mano mfalamagoha,hili ni la kimira, {Yahaya hili ni la Kisilamu} na {Yohana hili ni la kikristo}.Lakini cha maajabu unaweza kukuta haya majina mfano ya kizungu,yalishapoteza maana yake toka yalikotoka,kama muhusika wa jina lake original siku akija ukamuita hilo jina haweza kuitika,mfano Yohana au Mathew siyo lilikuwa jina la muhusika,lakini lilipoenda Ulaya lilibadilishwa
😀😀😀
 
Back
Top Bottom