Hakuna anayejali
JF-Expert Member
- Jun 3, 2023
- 418
- 526
Basi tu unafikiri kapenda kuhangaika hata hajapona vzuri....Pengine ni hali ya maisha inapelekea hivi mtu anajifunguwa hajamaliza mwezi anakuja kuuza chakula mgahawani na anamuogesha nje hapo bila aibu.Nauliza ninyi watu wa afya hamuoni ongezeko la hii hali au ni kawaida mtueleweshe mtu kama mimi.Huyu mtu kwanini msimwambiye alee kwanza mtoto wakati anasaidiwa na mtu kwa maslahi mapana ya afya zetu?
Ushamaliza mkuuBasi tu unafikiri kapenda kuhangaika hata hajapona vzuri....
Ugumu tu wa Maisha
Katika kada za hovyo baada ya NEMC na zimamoto ni hao watu,Pengine ni hali ya maisha inapelekea hivi mtu anajifunguwa hajamaliza mwezi anakuja kuuza chakula mgahawani na anamuogesha nje hapo bila aibu.Nauliza ninyi watu wa afya hamuoni ongezeko la hii hali au ni kawaida mtueleweshe mtu kama mimi.Huyu mtu kwanini msimwambiye alee kwanza mtoto wakati anasaidiwa na mtu kwa maslahi mapana ya afya zetu?
πππππππAle nini sasa?
Kuzaa sio ulemavu