Hivi ninyi wanawake ni nani aliyewaambia kuwa sisi wanaume ni mafundi wa kila kitu.

Ungewaambia ukweli ingependeza zaidi
Hujanielewa, si kwamba sitaki kuwatengenezea ila nimetamani kujua huwa inakuwaje mnaamini wanaume mnaoishi nao huko ni maExpert wa kila kitu... Au mnajaribishaga kwakuwa mnajua sisi si rahisi kukubali kushindwa mbele yenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…