Finegirlone
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 1,836
- 3,609
[emoji23][emoji23][emoji23]nop silalamiki, nawaza tu kwa sauti baada ya kupewa simu moja nirekebishe sasa imenigomea ndo nakomaa nayo tangu jana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]nop silalamiki, nawaza tu kwa sauti baada ya kupewa simu moja nirekebishe sasa imenigomea ndo nakomaa nayo tangu jana
Vipi nije nikuogeshe 😇[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitengenezee simu yangu kamera haifanyi kazi[emoji23]Vipi nije nikuogeshe [emoji56]
Twende kwa FundiNitengenezee simu yangu kamera haifanyi kazi[emoji23]
Hujanielewa, si kwamba sitaki kuwatengenezea ila nimetamani kujua huwa inakuwaje mnaamini wanaume mnaoishi nao huko ni maExpert wa kila kitu... Au mnajaribishaga kwakuwa mnajua sisi si rahisi kukubali kushindwa mbele yenu?Ungewaambia ukweli ingependeza zaidi
Kivipi mkuu?mkuu ulikosewa kuumbwa mwanaume nafasi haujaifit kabisa