Hivi Ntibazonkiza na Kambole nani mchezaji ikiwa Kambole kacheza mechi 46 kafunga 2 tu

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Yanga imemsajili striker lazaro kambole akitokea kaizer Chiefs, mshambuliaji huyo amecheza mechi 46 lkn kafunga mabao 2 tu msimu mzima, wakati Ntibazonkiza amefunga mabao 7 hadi anaachana na yanga.

Hivi kweli unamuacha Ntibazonkiza unakwenda kumsajili Kambole, kama sio upigaji msimu wa usajili ni nini, yaani upande ndege ukamsaini mtu aliyefunga mabao 2 mechi 46, kweli.

Hivi Makambo ni mbovu kiasi cha kumleta Kambole kweli, kweli, kweli, kweli, kwamba Kambole awapeleke makundi, huyo Kambole mbona kama Chico Ushindi tu.
 
Yanga imemsajili striker lazaro kambole akitokea kaizer Chiefs, mshambuliaji huyo amecheza mechi 46 lkn kafunga mabao 2 tu msimu mzima, wakati Ntibazonkiza amefunga mabao 7 hadi anaachana na yanga...
Simba mchukueni Saido awasaidie! Mtuachie Yanga yetu!
 
Yanga imemsajili striker lazaro kambole akitokea kaizer Chiefs, mshambuliaji huyo amecheza mechi 46 lkn kafunga mabao 2 tu msimu mzima, wakati Ntibazonkiza amefunga mabao 7 hadi anaachana na yanga...
Tuanzie kwanza kwa kuhoji, je Saidoo angepata namba kwenye kikosi cha Kaizer Chief?
 
Yanga imemsajili striker lazaro kambole akitokea kaizer Chiefs, mshambuliaji huyo amecheza mechi 46 lkn kafunga mabao 2 tu msimu mzima, wakati Ntibazonkiza amefunga mabao 7 hadi anaachana na yanga...
Hoja Yako inamantiki ukiiangalia kwa haraka haraka. Ila ukituliza akili utaona Saido na Yanga walishindwa kukubaliana terms za mkataba mpya.

Yanga walitaka kumpa mwaka mmoja, yeye akawa anataka miwili, kwa umri wake haikuwa viable. So mwisho wa siku Kila mmoja ikabidi achukie njia yake, maana wanaangalia malengo yao.

So, sioni tatizo kwa Yanga kumsajili Kambole na kumuachia Ntibazonkiza.
 
Yanga imemsajili striker lazaro kambole akitokea kaizer Chiefs, mshambuliaji huyo amecheza mechi 46 lkn kafunga mabao 2 tu msimu mzima, wakati Ntibazonkiza amefunga mabao 7 hadi anaachana na yanga...
Wakati fulani tunatakiwa kuheshimu benchi la ufundi. Hata msimu kuanza bado! Tayari mmeshaanza maneno. Huyo Kambole hajacheza hata mechi moja, tayari unamsema!

Mbona kuna wachezaji wengi tu walishawahi kufanya vibaya kwenye vilabu vyao vya awali, na walipokwenda vilabu vingine wakafanya mambo makubwa!
 
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Yanga imemsajili striker lazaro kambole akitokea kaizer Chiefs, mshambuliaji huyo amecheza mechi 46 lkn kafunga mabao 2 tu msimu mzima, wakati Ntibazonkiza amefunga mabao 7 hadi anaachana na yanga...
Huna unachofahamu kuhusu npira basi nyamaza tu
 
Umbeya mwingine bwana yani sielewi Makolo mnahangaika nn na usajili wa Yanga. Huyu Kambole awe mzuri au mbaya anakuhusu nn wewe? Acheni umbeya subiri ligi ianze ndiyo utamjua vizuri hata Saido Ntibazonkiza na wengineo wote mliwajua vizuri baada ya kuja Yanga.Tunakumbuka msimu huu mlibeza sana usajili wa Yanga Mara Aucho hafahi Mara Djuma Shabani hafahi ni majeruhi sana kiwango kiko chini mara Yanick Bangala hafahi si mzuri yani kila usajili wa Yanga ulibezwa na wenyewe Makolo mkajinasibu kwamba usajili wenu ni mzuri sana kwa sababu mnashiriki kimataifa mtakumbuka miaka minne yote ya kushiriki kwenu klabu bingwa mnasajili lakini mpaka leo timu bovu na bado mnaendelea kusajili mchezaji akiwafunga au kuwapiga chenga mnasajili Banda,Chikwende na wengineo leo mnaona mmekusanya mizoga. Kuna msemo usemao Ya Ngoswe muachie Ngoswe hivyo mambo ya Yanga yasiwaumize waachieni wenye Yanga yao angaikeni na lisimba lenu vinginevyo waswahili wanasema huo ni Umbeya na ushakunaku.Umbeya kama mwanamke wa kizaramo ambaye hajafundwa.Mtakoma yani ni back to back msimu kwa msimu mtafukuzana na kusajili mpaka mkome.Makolo kwisha habari yenu mmebakia kupiga umbeya tu.Hovyo kabisaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…