Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Yanga imemsajili striker lazaro kambole akitokea kaizer Chiefs, mshambuliaji huyo amecheza mechi 46 lkn kafunga mabao 2 tu msimu mzima, wakati Ntibazonkiza amefunga mabao 7 hadi anaachana na yanga.
Hivi kweli unamuacha Ntibazonkiza unakwenda kumsajili Kambole, kama sio upigaji msimu wa usajili ni nini, yaani upande ndege ukamsaini mtu aliyefunga mabao 2 mechi 46, kweli.
Hivi Makambo ni mbovu kiasi cha kumleta Kambole kweli, kweli, kweli, kweli, kwamba Kambole awapeleke makundi, huyo Kambole mbona kama Chico Ushindi tu.