Hivi Nyani Ngabu anafanya kazi ubalozini?

Ofu kozi ni mweupe/light skin
ndo ugonjwa wa huko anakotoka baba mtoto wake

skin colour matters a lot.

Huyo ndo baba mtoto hasa...na huyo ndo binti yetu!

Vingine endelea kumsubiria Kongosho lol!
 
A lot of "efforts"?

Sounds broken to me.

What's broken?

The plural for effort is efforts.

If I say "Her efforts were rewarded with a new contract." Would that be broken?

Or if I say "I was quite pleased with my efforts". Would that be broken also?

And what if I say "I spent hours cleaning the house, but there isn't much to show for all my efforts." Is this broken?
 
Kumbe unapenda madaraka thats why?

Nani kakupa huo Urais?

Mkuu usimshangae huyu jamaa kuna wakati alishawahi kukiri kama kuna watu wanamuhisi shoga humu jamvini!mpaka leo sijaelewa kwanini ahisi watu wanamuhisi shoga!!!nimeunda tume ntakuja na majibu ila nahisi ana hulka tatanishi!
 
Hahahaha. . . watu mna kazi kweli. Mpaka tume umemuundia?Huna shughuli nyingine ya kufanya?
 
Moja ya njia ya kuongeza ajira dadangu!vijana walianza alipokulia mpaka sekondari aliyosoma na data zingine wanakusanya anapoishi sasa na pia wanapitia baadhi ya posts zake!!!wakimaliza hii tume itaundwa kwaajili ya malaria sugu!
 
Na wewe unapata faida gani haswa kuhangaika na maisha ya mtu ambae hakuhusu wala humfahamu? Tena mtu ambae pengine hata uwepo wako hautambui?
 
Mkuu usimshangae huyu jamaa kuna wakati alishawahi kukiri kama kuna watu wanamuhisi shoga humu jamvini!mpaka leo sijaelewa kwanini ahisi watu wanamuhisi shoga!!!nimeunda tume ntakuja na majibu ila nahisi ana hulka tatanishi!
Mhn!Sijawahi kuwa na taarifa hizi.

JF kuna mambo lol
 
Watanzania kwa kupeana sifa za kijinga.Ndio maana wakamchagua rais kwa kuambiwa sifa yake kuu ni Handsome.

Kweli JF ni zaidi ya social netiweki....
 
Hapa ni chit chat na si kampeni za uraisi!

Hata mimi nipo Chit chat ...badae ndio nitahamia kwenye mambo ya kikubwa gidha likiingia...bado mapema ngoja nipotedhe muda humu.

Natumaini unamalizia weekend vyema, sio chit chat tu....
 
Hewala Mwakalinga.
 
Watanzania kwa kupeana sifa za kijinga.Ndio maana wakamchagua rais kwa kuambiwa sifa yake kuu ni Handsome.

Kweli JF ni zaidi ya social netiweki....
Siku nyingine ili ku neutralize wivu, na wewe jianzishie uzi ujifagilie uone wangapi tutashoboka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…