bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,873
Vizuri, sio unaamka tu na kuanza kuandika andika alimradi umeandika...mwisho wa siku unakuwa hauna hata tofauti na wapiga kura wa Kikwete....Kweli hata mimi hili nimeliona ....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vizuri, sio unaamka tu na kuanza kuandika andika alimradi umeandika...mwisho wa siku unakuwa hauna hata tofauti na wapiga kura wa Kikwete....Kweli hata mimi hili nimeliona ....
Mikononi, mgongoni, na kwenye dolly na forklift.
Wewe pia ntakuundia tume!kuna mtu kanipm nichunguze muonekano wako nasikia zikianzishwa thread za urembo unaumia sana!sasa anataka kujua ni hauna mvuto au kwasababu umri umeenda na dalili za kuolewa hazipo!....Na wewe unapata faida gani haswa kuhangaika na maisha ya mtu ambae hakuhusu wala humfahamu? Tena mtu ambae pengine hata uwepo wako hautambui?
Nimepata PM nawe uundiwe tume kwanini thread zinazohusu urembo zinakuumiza!!!ntaanza ni kukosa kwako mvuto au uliowazidi umri kuolewa kabla yako!Na wewe unapata faida gani haswa kuhangaika na maisha ya mtu ambae hakuhusu wala humfahamu? Tena mtu ambae pengine hata uwepo wako hautambui?
Wewe pia ntakuundia tume!kuna mtu kanipm nichunguze muonekano wako nasikia zikianzishwa thread za urembo unaumia sana!sasa anataka kujua ni hauna mvuto au kwasababu umri umeenda na dalili za kuolewa hazipo!....
Jamani folks, mi uwa namkubali sana nyani ngabu kwa ngeli yake kwani huwa inanibidi nitafute dictionary. Hivi monkey ngabu unafanya kazi pale british embasy au mwalimu wa internatonal school au we ni head of departnment wa language katika vyuo vya hapa bongo?
Vizuri, sio unaamka tu na kuanza kuandika andika alimradi umeandika...mwisho wa siku unakuwa hauna hata tofauti na wapiga kura wa Kikwete....
Sasa hapa nani alikuwa anampigia kura kikwete?Kweli nimekuelewa vyema na mwongozo nimezingatia ...kuliko kuwa kama mpiga kura wa m.kwere ni bora nigongwe na treni ....
Nakusalimu mpendwa! Ntaenda Ikungu au?Siku nyingine ili ku neutralize wivu, na wewe jianzishie uzi ujifagilie uone wangapi tutashoboka!
Ikungu! Utanipeleka?Wataka kupelekwa wapi Sweetlady mbona wapelekaji wapo wengi au tuseme hawajachangamka!
Nakusalimu mpendwa! Ntaenda Ikungu au?
only if you 'behave'...lol!!
Hivi Kezilahabi na Msambichaka walikuwa idara gani?
Wivu wa kike!!Rais wa wabeba mabox ya wapi?
Na wewe ndo "Tendwa"?
siku hizi kuna marais wengi...Mimi ni raisi wa wabeba maboksi. Sifanyi kazi ubalozini, siyo mwalimu wa shule ya kimataifa, na wala si mkuu wa idara ya lugha katika chuo chochote kile. Sina kabisa sifa za kuwa kwenye sehemu kama hizo.
Mimi ni mtu wa boksi tu, mwanzo mwisho, juu chini.
Hata kama ikiwa hivyo, hakuna kati yenu anaweza kuwa rais wangu.Wivu wa kike!!
Ni vyema ikawekwa wazi ni rais wa kitu gani.lolsiku hizi kuna marais wengi...
raisi wa mbagala
raisi wa wasafi
raisi wa kota za tanesco
raisi wa tabata
raisi wa wapanda dala dala
raisi wa wasomi
raisi wa masharobaro
raisi wa wala bata
raisi wa .....khaaaa
siku hizi kuna marais wengi...
raisi wa mbagala
raisi wa wasafi
raisi wa kota za tanesco
raisi wa tabata
raisi wa wapanda dala dala
raisi wa wasomi
raisi wa masharobaro
raisi wa wala bata
raisi wa .....khaaaa
NN naomba tuition ya ung'eng'e!