Hivi Nyani Ngabu anafanya kazi ubalozini?

Kweli hata mimi hili nimeliona ....
Vizuri, sio unaamka tu na kuanza kuandika andika alimradi umeandika...mwisho wa siku unakuwa hauna hata tofauti na wapiga kura wa Kikwete....
 
Na wewe unapata faida gani haswa kuhangaika na maisha ya mtu ambae hakuhusu wala humfahamu? Tena mtu ambae pengine hata uwepo wako hautambui?
Wewe pia ntakuundia tume!kuna mtu kanipm nichunguze muonekano wako nasikia zikianzishwa thread za urembo unaumia sana!sasa anataka kujua ni hauna mvuto au kwasababu umri umeenda na dalili za kuolewa hazipo!....
 
Na wewe unapata faida gani haswa kuhangaika na maisha ya mtu ambae hakuhusu wala humfahamu? Tena mtu ambae pengine hata uwepo wako hautambui?
Nimepata PM nawe uundiwe tume kwanini thread zinazohusu urembo zinakuumiza!!!ntaanza ni kukosa kwako mvuto au uliowazidi umri kuolewa kabla yako!
 
Wewe pia ntakuundia tume!kuna mtu kanipm nichunguze muonekano wako nasikia zikianzishwa thread za urembo unaumia sana!sasa anataka kujua ni hauna mvuto au kwasababu umri umeenda na dalili za kuolewa hazipo!....

hahahahah..
 
hata mi namsifu ila tofauti. Toka najiunga jf jamaa hajawahi badili avatar! Kipindi fulani tu alibadili jina ila akajirudi. Ana jina zuri la asili pia
 
Vizuri, sio unaamka tu na kuanza kuandika andika alimradi umeandika...mwisho wa siku unakuwa hauna hata tofauti na wapiga kura wa Kikwete....

Kweli nimekuelewa vyema na mwongozo nimezingatia ...kuliko kuwa kama mpiga kura wa m.kwere ni bora nigongwe na treni ....
 
Kweli nimekuelewa vyema na mwongozo nimezingatia ...kuliko kuwa kama mpiga kura wa m.kwere ni bora nigongwe na treni ....
Sasa hapa nani alikuwa anampigia kura kikwete?

Respect is ''EARNED''...get that?
 
siku hizi kuna marais wengi...
raisi wa mbagala
raisi wa wasafi
raisi wa kota za tanesco
raisi wa tabata
raisi wa wapanda dala dala
raisi wa wasomi
raisi wa masharobaro
raisi wa wala bata
raisi wa .....khaaaa
 
siku hizi kuna marais wengi...
raisi wa mbagala
raisi wa wasafi
raisi wa kota za tanesco
raisi wa tabata
raisi wa wapanda dala dala
raisi wa wasomi
raisi wa masharobaro
raisi wa wala bata
raisi wa .....khaaaa
Ni vyema ikawekwa wazi ni rais wa kitu gani.lol

Maana ana wapambe wa kutosha, and the say about "birds of same feather"
 
siku hizi kuna marais wengi...
raisi wa mbagala
raisi wa wasafi
raisi wa kota za tanesco
raisi wa tabata
raisi wa wapanda dala dala
raisi wa wasomi
raisi wa masharobaro
raisi wa wala bata
raisi wa .....khaaaa

Oh yeah siku hizi maraisi kibao tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…