Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
inheritance????how???
JF weka wimbo wa taifa.
speech ya rais iheshimiwe.
The inheritance of a genetic trait. Ngabu Sr. has a great faculty for learning languages and I think I inherited a little bit of that.
The inheritance of a genetic trait. Ngabu Sr. has a great faculty for learning languages and I think I inherited a little bit of that.
ndugu yangu jmushi acha uchokozi!, Akikushukia usije kumlilia mode kama jana!Kumbe unapenda madaraka thats why?
Nani kakupa huo Urais?
kama nyinyi ni peoplez powerz sisi ni boxes powerz bana.Wewe Krolo, hebu rudi Pharmacy bana wagonjwa wamepanga foleni wanakusubili...
Tungo tata hii. Fafanua
pamoja na hayo icon wako alikuwa softi sana ukilinganisha na mgumu malcolm x ambaye mnugu manning marable kajaribu kumshusha hadhi bila mafanikio!
how many languages did Ngabu Sr.....learned????
Hakuwa soft bana. Angekuwa soft asingejitoa mhanga kiasi kile.
Kumbuka, he didn't have to do that. He had a PhD at the age of 26. He could have gone on to doing other things.
Lakini mwisho wa siku approach yake ndiyo ilishinda na leo hii tunayaona matunda yake.
hivi kwa nini ngabu sr. alikimbia kufundisha udsm na kupelekea ngabu jr awe mbeba maboksi ughaibuni?
Dah! acha nitimue kabla mkuu hajashukabasi wote nyanyukeni, msilale hadi mkuu ashuke
kama nyinyi ni peoplez powerz sisi ni boxes powerz bana.
Akikufa rais Ngabu msilete mauwa leteni maboksi.
In all honesty hakukimbia. Kastaafia hapo hapo mwaka 1997!
Sasa usianze kuchimba chimba kutaka kujua ni kina nani walistaafu mwaka huo lol.
matunda = obama?
Hahaa sina haja ya kuchimba, watalaamu wote wa lugha waliokimbia/waliostaafu/waliotimuliwa udsm nawajua - mbise, kahigi, ndulute, mbele, mulokozi, madumula, ngonyani n.k
Siyo Obama tu!
Kuna Civil Rights Act of 1964
Jim Crow laws hazipo tena
Institutions zote sasa ziko desegragated na mengine mengi tu. Hivi unadhani bila juhudi za brother Martin leo hii Cornel West angekuwa anafundisha kwenye Ivy league school?
Lakini Ngabu sr. hakuwa huko kwenye idara ya Isimu bana....yeye alikuwa kwingine kabisa ingawa ni mshikaji wake na Batibo.....unamjua huyo?
Najua unamjua Ngabu sr. ila tu sitakwambia. lol
Halaf wewe...... sawa bana, acha nisiseme sana tu.:focus:Napita hapa.