Hivi Nyani Ngabu anafanya kazi ubalozini?

The inheritance of a genetic trait. Ngabu Sr. has a great faculty for learning languages and I think I inherited a little bit of that.

hivi kwa nini ngabu sr. alikimbia kufundisha udsm na kupelekea ngabu jr awe mbeba maboksi ughaibuni?
 
pamoja na hayo icon wako alikuwa softi sana ukilinganisha na mgumu malcolm x ambaye mnugu manning marable kajaribu kumshusha hadhi bila mafanikio!

Hakuwa soft bana. Angekuwa soft asingejitoa mhanga kiasi kile.

Kumbuka, he didn't have to do that. He had a PhD at the age of 26. He could have gone on to doing other things.

Lakini mwisho wa siku approach yake ndiyo ilishinda na leo hii tunayaona matunda yake.
 
matunda = obama?

largest.PNG
 
hivi kwa nini ngabu sr. alikimbia kufundisha udsm na kupelekea ngabu jr awe mbeba maboksi ughaibuni?

In all honesty hakukimbia. Kastaafia hapo hapo mwaka 1997!

Sasa usianze kuchimba chimba kutaka kujua ni kina nani walistaafu mwaka huo lol.
 
afu wewe, mbona leo una adabu hivyo kwa NN

Ujue hata uwe na adabu vipi huwezi kumpokea askari silaha?

Cheo cha rais hakipokelewi

kama nyinyi ni peoplez powerz sisi ni boxes powerz bana.
Akikufa rais Ngabu msilete mauwa leteni maboksi.
 
In all honesty hakukimbia. Kastaafia hapo hapo mwaka 1997!

Sasa usianze kuchimba chimba kutaka kujua ni kina nani walistaafu mwaka huo lol.

Hahaa sina haja ya kuchimba, watalaamu wote wa lugha waliokimbia/waliostaafu/waliotimuliwa udsm nawajua - mbise, kahigi, ndulute, mbele, mulokozi, madumula, ngonyani n.k
 
matunda = obama?

largest.PNG

Siyo Obama tu!

Kuna Civil Rights Act of 1964

Jim Crow laws hazipo tena

Institutions zote sasa ziko desegragated na mengine mengi tu. Hivi unadhani bila juhudi za brother Martin leo hii Cornel West angekuwa anafundisha kwenye Ivy league school?
 
Hahaa sina haja ya kuchimba, watalaamu wote wa lugha waliokimbia/waliostaafu/waliotimuliwa udsm nawajua - mbise, kahigi, ndulute, mbele, mulokozi, madumula, ngonyani n.k

Lakini Ngabu sr. hakuwa huko kwenye idara ya Isimu bana....yeye alikuwa kwingine kabisa ingawa ni mshikaji wake na Batibo.....unamjua huyo?

Najua unamjua Ngabu sr. ila tu sitakwambia. lol
 
Siyo Obama tu!

Kuna Civil Rights Act of 1964

Jim Crow laws hazipo tena

Institutions zote sasa ziko desegragated na mengine mengi tu. Hivi unadhani bila juhudi za brother Martin leo hii Cornel West angekuwa anafundisha kwenye Ivy league school?

Cornel West Ivy League schools zimemshinda, kakimbilia kwenye ka-college kadogo mithili ya community college !
 
Lakini Ngabu sr. hakuwa huko kwenye idara ya Isimu bana....yeye alikuwa kwingine kabisa ingawa ni mshikaji wake na Batibo.....unamjua huyo?

Najua unamjua Ngabu sr. ila tu sitakwambia. lol

Batibo nampata, nilikuwa nammaindi sana binti yake kabla hawajakimbilia Botswana enzi zile, hata nafasi ya kumuambia sikupata!
 
Back
Top Bottom