Lakini Ngabu sr. hakuwa huko kwenye idara ya Isimu bana....yeye alikuwa kwingine kabisa ingawa ni mshikaji wake na Batibo.....unamjua huyo?
Najua unamjua Ngabu sr. ila tu sitakwambia. lol
Batibo nampata, nilikuwa nammaindi sana binti yake kabla hawajakimbilia Botswana enzi zile, hata nafasi ya kumuambia sikupata!
Ngabu Sr alikuwa besti na Mbughuni pia?
Halaf wewe...... sawa bana, acha nisiseme sana tu.:focus:
Lakini Ngabu sr. hakuwa huko kwenye idara ya Isimu bana....yeye alikuwa kwingine kabisa ingawa ni mshikaji wake na Batibo.....unamjua huyo?
Najua unamjua Ngabu sr. ila tu sitakwambia. lol
Afadhali hukumharibu binti wa watu manake wewe ulizidi kwa uharibifu bana
Ukufe wewe kwanza!kama nyinyi ni peoplez powerz sisi ni boxes powerz bana.
Akikufa rais Ngabu msilete mauwa leteni maboksi.
binamu nyama ya hamu! Ii jinsia tofauti na wewe!binam yako if you don't mind ningependa kweli nijue jinsia yako.... Just in case.....lol
Hivi Kezilahabi na Msambichaka walikuwa idara gani?
Hapana...si kihivyo!
Besti na Kimambo
Hao kwa kweli sina uhakika. Kwani huna prospectus ya miaka ya 90 hapo ulipo?
Ila nahisi labda sanaa, uchumu, au takwimu. Au mtafute Kuhunga umuulize lol
Afadhali hukumharibu binti wa watu manake wewe ulizidi kwa uharibifu bana
wewe niongezee hasira tu..... halaf jana tu nimeota nauwa pakanjo nikung'ate sikio.
Nimecheki afya jana wamesema hata bakteria wa upele sina.Ukufe wewe kwanza!
wewe niongezee hasira tu..... halaf jana tu nimeota nauwa paka
Typing error kama iyo apo red inaruhusiwa na ni well recomended. Hebu kosea tenampenzi ukinuna ntakufa...oops, kumbe we shemeji. Wapambe msisome hapa.
Mangi bana.....Kumbe unapenda madaraka thats why?
Nani kakupa huo Urais?