Hivi Nyani Ngabu anafanya kazi ubalozini?

Nimecheki afya jana wamesema hata bakteria wa upele sina.
Atakaeolewa na mimi atakuwa na bahati sana
Sasa kwani Ngabu ndo uliambiwa ana vimelea vya maradhi?

Halafu bado tu unatapeli hujaoa?
 
Lazima nije nimpaishe Ngabu! Heheh si unaona keshaitikia mwenyewe :]
Wee ni zaidi ya sungura, yaani hata bila kukidhi viwango tayari ushaambiwa unapata mkopo?
Mmmmmh!
 
Kisha Ngabu siku hizi kawa gentleman....sijui ndo kuzeeka?
πŸ˜€
 
Mambo si hayo!.

Bey hapo anaona choyo haelewi kuwa "ukiwa karibu na muuza uturi, utanukia vizuri" tu daima
Choyo na kijiba hasa...lol
Itabidi ukishanukia huo uturi unipake na mimi basi
 
Choyo na kijiba hasa...lol
Itabidi ukishanukia huo uturi unipake na mimi basi

Wewe nilikuona ulivyowapaisha Wasukuma jana, Ngabu atazingatia hilo wakati wa kutoa mkopo...
 
Wewe nilikuona ulivyowapaisha Wasukuma jana, Ngabu atazingatia hilo wakati wa kutoa mkopo...
Aah Gee ujue hata hakuona hilo, lakini nashangaa wee kidogo tu tiyari umeondoka na mkopo tena Bila masharti!!
 
Aah Gee ujue hata hakuona hilo, lakini nashangaa wee kidogo tu tiyari umeondoka na mkopo tena Bila masharti!!

Siku nyengine unatakiwa kutoa sifa majsusi sio za jumla jumla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…