Lol! hivi ilikuwa jana?ndugu yangu jmushi acha uchokozi!, Akikushukia usije kumlilia mode kama jana!
Aah Gee alipaswa kujua namzungumzia yeye bana...!Siku nyengine unatakiwa kutoa sifa majsusi sio za jumla jumla
Zamani nilikuwa roughneck?
Weee usimzeeshe miaka 57 tu ana uzee gani??
Ilikuwa kiboko yako NoName na Rose1980 tu! Hahahah
halafu si nilishakwambia yale mang'ombe yako mashoga yananimalizia mapouuuda. Njo uwachukue.
Jamani Noname....daah Gee umenikumbusha huyo mtu sijui hata yupo wapi tu jamani!Ilikuwa kiboko yako NoName na Rose1980 tu! Hahahah
Samahani Ngabu...kumbe na ww hupendi miaka yako itajwe hadharani?Khaaaaaa!!!!
Samahani Ngabu...kumbe na ww hupendi miaka yako itajwe hadharani?
Si huyo Gee kasema unazeeka ndo nikataka kuthibitisha kuwa sio mzee!
Khaaaaaa! wari wa siku hizi bana! nazani wanahitaji kipengele chao kwenye katiba mpya.
Anza na Gee ndo amesababisha, atasemaje wee umezeeka!!?Nakuripoti kwa Paw.
Upo DL? Heri ya mwaka mpya kakaVingunge wa JF. mnanikumbusha mwaka 1947.
Upo DL? Heri ya mwaka mpya kaka
Vingunge kina nani?Vingunge wa JF. mnanikumbusha mwaka 1947.
Hao kwa kweli sina uhakika. Kwani huna prospectus ya miaka ya 90 hapo ulipo?
Ila nahisi labda sanaa, uchumu, au takwimu. Au mtafute Kuhunga umuulize lol
Zimefika DL...na shukuru pia!Asante sana na wewe pia. Nisalimie NN.
Hivi Kezilahabi na Msambichaka walikuwa idara gani?
Mimi ni raisi wa wabeba maboksi. Sifanyi kazi ubalozini, siyo mwalimu wa shule ya kimataifa, na wala si mkuu wa idara ya lugha katika chuo chochote kile. Sina kabisa sifa za kuwa kwenye sehemu kama hizo.
Mimi ni mtu wa boksi tu, mwanzo mwisho, juu chini.