ChimpuluNchimbi
Member
- Jun 5, 2017
- 95
- 124
Wenyewe wanadai eti wazee wanahonga sana yaani wanajua kuhudumia na pia hawana mashuti ya mbali yaani Wanapiga mokotoila inatosha.. Sio vijana mnapaniaaa... Kutwa kunywa michuzi ya pweza.Binti miaka 21+ uko na mzee 70+ unamuita mpenzi, unamruhusu kabisa achezee mwili wako?, ni mapenzi au unasaka hela, umaarufu, unakomoa au ndo maisha yamekua ivo?
Imenibidi niombe kujuzwa kotoka kwenu kupitia huku Jf kwa wakubwa, maana huku mtaani kwetu imekua kama fashion mabinti kutoka na baba zetu.