RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 4,504
- 8,842
Moja kati ya taasisi ya ajabu nchini ni Tanesco,uchunguzi wangu niliofanya nimegundua mambo yafuatayo!
1.Kuna mafundi au wahusika wanachezea umeme kama moto anavyochezea kibatari yaani wanakata na kuzima kata Zima kata Zima bila kujali watumiaji yaani wanafanya wanavyojisikia kuhusu umeme!!
2.Wana maslahi binafsi au ugomvi binafsi au matatizo ya kisaikolojia kwasababu inawezekanaje umeme ukawaka tangu asubuhi Hadi alasiri wakati wa Moira wa miguu was timu yeyote kubwa wanakata umeme maksudi kabisa na game ikiisha TU wanarudisha!!
3.Wameamua klihujumu taifa maksudi kabisa Kwa kuonyesha kwamba hatuwezi kuwa na umeme wa uhakika na kama upo watu au kikundi Cha watu kinaweza Fanya vyovyote vile hasta kuzima umeme kwa siku kadhaa na hakuna lolote linaweza tokea!!
4.Mtamdao wa LUKU wanaweza ku ufanya lolote lile na hakuna was kukemea kama wakati huu ambapo mtandao was Luku wameuzima hakuna kulipia umeme!!
Tanesco ni jipu kwa taifa,hakuna taifa linalodharaulika ki nishati kama tanzania!!
Viongozi iangalieni tanesco kwa jicho jipya ni tatizo kwa taifa kabisa,hatuwezi jivunia taifa ambalo kukatika umeme ni kama fasheni fulani hivi wakijisikia wanakata tu,waonavyo wenyewe!!