Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
ni wivu tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga haina kikosi Cha kwanza wala Cha pili wala Cha tatu,wachezaji wa Yanga wote wako sawa inategemea kocha anataka kumpanga nani na nani kulingana na mahitaji ya mechi.Kama kichwa cha HabarI kinavyojieleza , kuna haja gani timu yenu kusajili wachezaji 30 , kama Ihefu tu nayo mnaweka kikosi cha kwanza utafikiri mnaenda kupambana na mnyama mkali simba? Au ni woga? Wapeni nafasi wachezaji wote waonyeshe vipaji vyao.
Kikosi ni kauka nikuvae
Ohooo!! We mzee hivi unajua unamjibu nani ? Umelisoma jina vizuri hapo juu?shauri lako.Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo mno. Kwanza yale sio mashindano kwa akili ya majaribio bali ni mashindano na ni mtoano. Kosa walilofanya simba dhidi ya Green woriors na mashujaa ilitaka ijirudie tena juzi dhidi ya JKT Tanzania. Bila ile mistake ya yule beki, ngoma ingeenda kwenye mikwaju ya penati.
La pili ni kwamba kocha kaamua kuitumia mechi ya Ihefu kama sehemu ya mazoezi ya kuwapa wachezaji wake match fitness kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Prisons. Ikumbukwe tu kuwa Yanga kabla ya kucheza na Simba, walikaa takribani siku kumi pasipo kucheza mechi yeyote ile hivyo walikosa match fitness na ndio maana kocha kaona ni bora atumie mechi ya Ihefu kama sehemu ya mazoezi ya kikosi chake kuelekea mechi ya ligi kuu.
Hahahah!daah!haya bhnaaaKikosi ni kauka nikuvae
Kikosi ni kauka nikuvae
Ndilo tatizo la kukodolea macho mashindano ya aina mbili tu. Mngekuwa na mashindano mengine ya Maana kama mnyama mkali simba mngebadili kikosi. Siyo mbaya ,ni timu mdogo vs timu ndogo Maana timu kubwa bado zinashiriki Caf CL na ShirikishoYanga hatuna shughuli ndogo na kila mechi ni fainali kwetu
Yanakuhusu nini wewe?Kama kichwa cha HabarI kinavyojieleza , kuna haja gani timu yenu kusajili wachezaji 30 , kama Ihefu tu nayo mnaweka kikosi cha kwanza utafikiri mnaenda kupambana na mnyama mkali simba? Au ni woga? Wapeni nafasi wachezaji wote waonyeshe vipaji vyao.
Mkuu acha hasira . Kunywa maji mengi ubongo utulie ,huu mchezo hauhitaji hasira
Sawa ila samahani sana kwa kutotumia KY JELLY jana wakati nakupelekea moto, pole kwa maumivu uliyonayo na siku nyingine unikumbushe kuitumiaNdilo tatizo la kukodolea macho mashindano ya aina mbili tu. Mngekuwa na mashindano mengine ya Maana kama mnyama mkali simba mngebadili kikosi. Siyo mbaya ,ni timu mdogo vs timu ndogo Maana timu kubwa bado zinashiriki Caf CL na Shirikisho