Hivi nyie utopolo hamna kikosi cha pili?

Tuliza mshono
Halafu zile zilikuwa zenu makolo nasikia mganga wenu aligeuza ndala πŸ˜€πŸ˜€
 
Kama kichwa cha HabarI kinavyojieleza , kuna haja gani timu yenu kusajili wachezaji 30 , kama Ihefu tu nayo mnaweka kikosi cha kwanza utafikiri mnaenda kupambana na mnyama mkali simba? Au ni woga? Wapeni nafasi wachezaji wote waonyeshe vipaji vyao.
Yanga haina kikosi Cha kwanza wala Cha pili wala Cha tatu,wachezaji wa Yanga wote wako sawa inategemea kocha anataka kumpanga nani na nani kulingana na mahitaji ya mechi.

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Ohooo!! We mzee hivi unajua unamjibu nani ? Umelisoma jina vizuri hapo juu?shauri lako.
 
Yanga hatuna shughuli ndogo na kila mechi ni fainali kwetu
 
Shida anaesema hivi hana first eleven ya kueleweka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yanga hatuna shughuli ndogo na kila mechi ni fainali kwetu
Ndilo tatizo la kukodolea macho mashindano ya aina mbili tu. Mngekuwa na mashindano mengine ya Maana kama mnyama mkali simba mngebadili kikosi. Siyo mbaya ,ni timu mdogo vs timu ndogo Maana timu kubwa bado zinashiriki Caf CL na Shirikisho
 
Sawa ila samahani sana kwa kutotumia KY JELLY jana wakati nakupelekea moto, pole kwa maumivu uliyonayo na siku nyingine unikumbushe kuitumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…