Hivi nyie wadada wa JF wazamani mpo kweli? Nimewamiss sana hata Leo tupo hapa irudi tu hamna namna

Hivi nyie wadada wa JF wazamani mpo kweli? Nimewamiss sana hata Leo tupo hapa irudi tu hamna namna

mademu wote niliowapata humu siwaoni siku hizi...au mmebadili IDs?
 
Hahaha kama hii ni kweli basi hizi ID zina nguvu sana... Huwezi amini nilimpenda sana Miss Chaga ila huyu Demiss alikuwa ananichefua mno ni vile tu sikutakaga kuingia kwenye anga zake.... Kipi nilikipenda kwa Miss Chaga, kipi kiliniboa kwa Demiss hata sijui
Demiss ni mwanaume

Miss Chagga ni mwanamke
 
Wapo ila wengi wana id mpya kuanzia 2016 mwishoi na 2017 wamekuja na IDs mpya..uzuri wanatambulika kwa uandishi wao mara nyingi huwa wanajisahau..
Jasiri haachi asiri
 
Back
Top Bottom