Hivi nyie wadada/ wamama mnaoenda kusafisha kucha mmevaa nguo fupi huwa mnataka nini?

Wakati mwingine dhambi huwa inakuwasha ili uifanye na wakunaji wakukune... [emoji3]
 
Nimeipenda hii.
 
Hebu mtuache! Ebo!!!
πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
Ukitaka kutafuna malaya wa mjini fanya kazi ya kupaka rangi/kusuka rasta/ shonea mawigi/bodaboda/uber
Wapenda vitonga utawakataa wewe
 
Nayatamani sana haya maisha yako
 
Makoroboiii, ngoja nami niende.

Mtoa mada hewa jamani, we hili joto hulihisi?
 
Mwanamke kwenda kusafishwa kucha ni upotevu wa muda na hela..
Huu ujinga sijui km ntakuja kuufanya,ngoja labda time will tell
 
Sasa atavaaje dera wakati anaenda fanyiwa scrub mkuu
 
Hahaha..mkuu hapo makoroboi ni noma...nimepita sana hapo wadada na wamama wanajiachia sana kama wapo sebureni kwao....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…