Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Yaani huwa nashangaa hadi natetemeka, yaani katikati ya tukio kwenye nyumba ya wageni tena show yenyewe inahusisha kikainishi cha KY Jelly, mtu anaanza kuwataja watakatifu utadhani anawaita wadogo zake waje awagawie karanga. Heeh, hamuogopi kwamba radi inaweza kushuka iwafumueni?
Hebu acheni hizo mambo, Bora muwe mnawaita viongozi wa chama na serikali
Hebu acheni hizo mambo, Bora muwe mnawaita viongozi wa chama na serikali