thatonegAl
JF-Expert Member
- Aug 28, 2013
- 825
- 1,884
Yummy yummy!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
supu ya mapupuHiyo ni misosi ya Wazungu.
Sisi Wanaume wa Dar tunakula embe kwa chumvi na limao. Chipsi zege, Mahindi ya kuchoma na pilipili, mchicha wa bonde la msimbazi, pweza na chachandu, ngisi, supu ya maharage na chapatti nk.
Karibu D'aslam......Huku Viongozi wako wakuu ndipo wanapoishi.
Hujawahi kuona kwenye tafrija zetu tunakunywa juice kwa pipi?
Kalaghabaho
umeona eeh.. Chapati kama kaukau. Mkuu wapi wanauza Elfu kumi? dar huwa wanauza kuanzia elfu 18 hadi 25 baadhi ya sehemu, kisha wanakuuzia soda buku au buku mbili. Mimi nakunywa soda, Pizza nanunua tu. Mara nyingi nina rafiki yangu anapenda hivyo nanunua ili afurahi nami nakula kipande kimoja lakini sisikii chochote. Baga ndo poa. Halafu baga unamwambia akuwekee pilipili.Sipendi kabisa kusikia upuuzi huo eti pizza pizza kwenda kula nakutana na chapati zilichomwa bila mafuta na ujinga gani sijui wameupaka kwa juu. Alafu kale kamuhudumu kananibania pua eti elfu 10 tu kaka,
Majina tu hayo Malyafyare ni chapati za kuchoma na mikate ya nyama katikati, wala hakuna jipya.Mi mshamba wa Mbeya huko Pizza na Burger nazionaga tu kwenye tiviii hivi utamu wake ukoje?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya nifafanulie mkuu, sijaluelewa.Mm sijazungumzia kuhusu uasherati mkuu
Mkuu wewe upo vizuri. Tutafutane tukale burger, Yule jamaa alokuwa akitengeneza pale Moroco kahamia Africa sana. Twenzetu baada ya hapo tukanywe soda pale kwenye bustani ya Ambiance. Tutakaa huku tukijadiliana fujo za akina espy kule MMU.Haha ha,@malyafale banah...
Ile condiment inafanana na uharo ni ufuta ule,mwanzo hata mimi ilinichanganya ila ukiizoea utaipenda tu kwani ina radha ya uchachu wala haiwezi kukutia kichefuchefu..
Ila mayonise ndo hiyo nadhani unasema inafanana na makohozi,ha ha ha.
Binafsi pizza haipandi,kitu ni burger bana
Habari yenu Wakuu,
Katika vyakula vinavyoongelewa na watu wengi ila mimi sielewi, ni hiki chakula kinaitwa Pizza. Hivi piza ina nini cha ziada? Nalijaribu kula mara sita sehemu tofauti hapa Dar, nikagundua pizza sio chakula ambacho kinanifaa. Ni chakula cha hovyo kwangu wala siwezi kuwa na hamu nacho.
View attachment 470203
Hivi ni nini kinawafanya Mpende Pizza hadi mnashindwa kulala?
Naomba mnambie pizaa ina nini hasa hadi iwateke akili.
Mimi mwenzenu napenda Burger. Mabaga Mabaga ndo mwake. Nakula hadi najilamba vidole.
Halafu niwe na Pepsi bariiidiiii...acha kabisa.
View attachment 470207
View attachment 470208
Napenda Burger
Hahahaaa...Mkuu umenichekesha sana. Mimi bado nina imani kwamba wengi wanakula kwa mkumbo tu, Hivi unaanzaje kuwa na hamu ya Pizza? Natamani Serikali ipige maarufuku.Dah! Bora nimepata mwenzangu. Haya mauchafu huwa siyafagilii hata kidogo. Huwa nashangaa sana nikiona watu wanavyohehuka nayo. Niwekee ugali wangu na samaki wa kukaanga mchicha chukuchuku au wa nazi, pilipili debe na gudulia langu la maji roho yangu KWATUU.
inakufaidisha nini..?ili nije kuwa mtumishi wa madhabahu ya hekalu.
hivi na wazungu wanakula ugali au viazi/mihogo vya kuchemshaNdio maana wakipiga kimoja wanakoroma halaf wanakuja kutusumbua huku mwanamke wngu ananisaliti
Sidhan hapa kama wanaongelea wazunguhivi na wazungu wanakula ugali au viazi/mihogo vya kuchemsha