fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
Ndio ila ni mkaa unaotokana na vumbi la makaa ya maweHao Stamico ni wachoma mkaa pia🤔🤔
Makaa ya mawe!!Hao Stamico ni wachoma mkaa pia[emoji848][emoji848]
Ngoja tuwakomeshe tumwandikie rais direct through social mediamashirika yetu ya umma kufanya kazi ni mpaka rais aongee ndio utawaona wanajikurupusha na kama rais wa nchi asipo amrisha hutowasikia popote na mawasiliano hawakujibu na ukijidai kuwafata ofisini wanakutimua kama paka dokozi.! ww pambana kivyako tu .!
Zingatia maokotoMnatangaza kuwa mnatengeneza mikaa isiyoharibu mazingira,tunawaandikia email kwa ile email yenu ya ofisi, hakuna mtu anajibu, au mnataka tumuandikie barua Samia. Tuambieni hayo makaa tunayapataje huku mikoani, au mnamuunga mkono Mama kinafiki?