fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
Mnatangaza kuwa mnatengeneza mikaa isiyoharibu mazingira,tunawaandikia email kwa ile email yenu ya ofisi, hakuna mtu anajibu, au mnataka tumuandikie barua Samia. Tuambieni hayo makaa tunayapataje huku mikoani, au mnamuunga mkono Mama kinafiki?