mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
Kwanza kabisa nakubali kwamba nikweli mimi mwehu ndama ubongo wangu umecheza mahala fulani..Na nyuzi zangu nyingi humu jukwaani nikweli zinaashiria upungufu wangu wa akili sababu bado nakula majani.
Lakini kumekua na wimbi kubwa la wenye hekima na akili tele humu jeiefu kuzisema Kila nyuzi zinazodondoshwa hata nawale ninao wafahamu kama wenye hekima na akili wenzao.. Utawasoma wateule wenye akili kwenye comment wanaandika "humu, sio fesibuku". Sasa kama sio fasibuku sisi tufanyeje?
Niwazi nyie wenye hekima na akili timamu humu jeiefu mnzidisha nongwa!.
Hivi Mnataka Kila siku tulie na ugumu wa maisha na habari za sisiemu na bambucha?.