Hivi Open University Hapa Tanzania kinatoa Degree ya Sheria?

October 2pm

Senior Member
Joined
May 2, 2023
Posts
106
Reaction score
282
Assalamu alyekum

Kichwa Hapo juu cha husika. Kûna mdogo wàngu anataka kusoma degree ya sheria lakini yupo kazini. Sasa ameona atumie Open University. Nauliza hicho chuo kinatoa hiyo programme? Weñye kujua
Asanteni
 
Acha uvivu. Tafuta prospectus Yao usome au wewe Ngumbaru mwenzetu?
 
Assalamu alyekum

Kichwa Hapo juu cha husika. Kûna mdogo wàngu anataka kusoma degree ya sheria lakini yupo kazini. Sasa ameona atumie Open University. Nauliza hicho chuo kinatoa hiyo programme? Weñye kujua
Asanteni
Wanatoa.
 
Ipo kitambo sana miaka zaidi ya 20 iliyopita kuna mtu namfahamu aligraduate LLB ,simbachawene,ndugai,jerry slaa wamesoma LlB hapo
 
Gharama za kawaida kabisa.
Changamoto ni muda wako mwenyewe, kama unabanwa na majukumu inakuwa ishu kutoboa.

Anhaa! Asante
Ila ningejua specific kiasi cha kuandaa ingekuwa Vizuri. Prospectus yao haijaeleza kozi hiyo
 
Assalamu alyekum

Kichwa Hapo juu cha husika. Kûna mdogo wàngu anataka kusoma degree ya sheria lakini yupo kazini. Sasa ameona atumie Open University. Nauliza hicho chuo kinatoa hiyo programme? Weñye kujua
Asanteni
Ndiyo
 
Back
Top Bottom