Powell Gonzalez
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 1,662
- 3,017
Dar Kila kitu ni tabu, labda na wao wanakula chips yai rojoHii ni maajabu, yaani paka anapigwa na panya hadi ana kimbizwa π€£, niko hapa kariakoo naona paka kapigwa na panya na kukimbizwa juu,hasa najiuliza panya akimkamata paka atamla au? siamini nachokiona.
Hii ni kwa paka wa Dar tu au hata wamikoani wameanza tabia hii ya kuchekesha?
HeheDar Kila kitu ni tabu, labda na wao wanakula chips yai rojo
Kuna panya wana midomo mirefu kama samaki chuchunge hawa panya ni wakorofi paka hamsogelei yaani hata wewe ukimsogelea vibaya kwenye kumi na nane zake anakung'ataHii ni maajabu, yaani paka anapigwa na panya hadi ana kimbizwa π€£, niko hapa kariakoo naona paka kapigwa na panya na kukimbizwa juu,hasa najiuliza panya akimkamata paka atamla au? siamini nachokiona.
Hii ni kwa paka wa Dar tu au hata wamikoani wameanza tabia hii ya kuchekesha?
Ah mamakePaka wa kule wengi ni masheheView attachment 3400539
Mapanya ya kutoka china hayo.Kuna panya wana midomo mirefu kama samaki chuchunge hawa panya ni wakorofi paka hamsogelei yaani hata wewe ukimsogelea vibaya kwenye kumi na nane zake anakung'ata
Ni makorofi hayo yana mlio hadi unaumiza masiikioMapanya ya kutoka china hayo.
Yamekuja na meli za kutokea China.
Hata kuona mchana wa jua kali hayaoni.
Paka wenyewe hawayali hayo mapanya
πππππDar Kila kitu ni tabu, labda na wao wanakula chips yai rojo